Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2023

Lyrics

Welcome To My World


Bongo Records


Yeeah


Check it


Aaah


Madogo wanashinda njaa alafu mshua pochi nene


Napokaa kuna visa ndo usiseme


Kuna nyumba hazina taa ila ndo hazikosi umeme


Wazee wanapiga chang’aa ili mida wapige ung’eng’e


Tofauti but the same old shit


I’ll be * with same old click


Wachumba awaachi kuloa am with the same old drip


Same old boy killing with same old clip


Napotoka napokaa kuna wanga ndo usipime


Watoto wana machine


Wanangu wako na sime


Njoo na moto uku uzimwe


Alafu nyumbani ni nyumbani


Ningetoa wapi huu unyama


Kama ningezaliwa pengine


Dom city juu


Posho city juu


Usiulize hivi viatu fanya kuuliza miguu


Cz you’re the everything iam and you’re everything I do


Nipeni deal nipeni deal


Kama mchizi wa East Zoo


Halaaah


One second


I will be studying on them


Two second


Niko speed nawafukuzia


Three second


Watalipa heshima jina langu


You know I can do this all


Japo naitaji hili tag la wanangu


Mnataka kurusha stimu


Na mchezo hamtaki kuucheza


Kama mlevi aliekesha bar akingoja bia ya nyongeza


Kitendawili (tegaaa)


Wana katana kwao


Wana act maisha mazuri (wasanii wa bongo flava)


Hainaga kupoa ni forward beki


Hata mkipoa me ndo muda wa kuchomoa betri


Nilishawaambia siku mkiona nimetoboa


Haki nawaambieni home naenda kubomoa


Na nitajenga bank


Nyumbani ni nyumbani (nyumbani)


Hata kama vichakani (nyumbani)


Nyumbani ni nyumbani (nyumbani)


Hata kama vichakani (nyumbani)


Karibu hapa ndo nyumbani


Choo hakuna ukibanwa nenda vichakani (nyumbani)


Karibuni hapa ndo nyumbani


Acha dirisha wazi feni ipo kwa jirani (nyumbani)


Kuja duniani umekua kama gifted


Kupakataa home mazee bonge la mistake


Hata wana siku hizi huwapi hi


Umebadili jina sasa unajiita mr social distance


Bwana mdogo unakwama bwana mdogo


Choo kimoja bafu la nyasi bwana mdogo


Huku ndo kwenu bwana usipaletee nyodo


Ishi na watu fresh do you hear bwana mdogo


Am proud to be shytown boy


Anapotoka baba style kisha Chatta nae Mfoyi


Leo narusha mangoma na wana wana-enjoy


Hashtag wakilisha nawaacha hoi


Napokua maskani tuna-ball sio utani


Japo life letu sio la ki-boss


Kwa akili za mtaani leo tuna-close deal tu mezani tume-chill na ma-boss


Yeah tossing keeping it real na wanangu OG’s yani toka day mosi


Na of course sie wahuni tuna date na njaa so uwezi kutusimangia misosi


Yeaah


Unyama nimeupata shytown


Iliandikwa last king atokee shytown


Siku nikivuta grammy itandondoka shytown


Kama kuna maisha baada ya kifo bado tazaliwa shytown


We ji-mix tu uchungulie kifo


Kwetu kuna bisibisi huku hakuna pistol


Hatuna cha kupoteza maana tumezaliwa hatuna


So we don’t kiss a$$ for your info


Simple


Nyumbani ni nyumbani (nyumbani)


Hata kama vichakani (nyumbani)


Nyumbani ni nyumbani (nyumbani)


Hata kama vichakani (nyumbani)


Karibu hapa ndo nyumbani


Choo hakuna ukibanwa nenda vichakani (nyumbani)


Karibuni hapa ndo nyumbani


Usije washa bange mwenyekiti ndo jirani

More Lyrics from P-Funk Majani Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status