Pekee Bwana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Pekee Bwana ndiwe, pekee Bwana
Wewe, pekee Bwana kweli ndiwe
Pekee Bwana
Nainua macho yangu kwako Bwana
Usiye acha mguu wangu usogezwe
Msaada wangu ukatika wewe Bwana
Unipaye nguvu ya kushinda kila siku
Nainua macho yangu kwako Bwana
Usiye acha mguu wangu usogezwe
Msaada wangu ukatika wewe Bwana
Unipaye nguvu ya kushinda kila siku
(Wewe) pekee Bwana ndiwe
Pekee Bwana nguvu yangu
Pekee Bwana ndiwe
Pekee Bwana msaada wangu
Pekee Bwana ndiwe
Pekee Bwana
(Wewe) pekee Bwana ndiwe
Pekee Bwana nguvu yangu
Pekee Bwana ndiwe
Pekee Bwana msaada wangu
Pekee Bwana ndiwe
Pekee Bwana
Nimekukimbilia wewe nikae salama
Nikae salama
Nikae salama
Nikae salama
Nikae salama
Niwako
Niwako
Niwako
Nimekujua
Niwako
Niwako
Niwako
Nimekujua