Bundaz league Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
VOICES AND BEATS RECORDS INTERNATIONAL
DIRECTOR CONTENT AND CREATIVES
SONG: Bundas League (Drill Song)
Musician: Kuky
Lyrics
(Intro)
Kuky.....
Background music
(Pre Chorus)
Niliwashow kitu naogopa Ni
Mungu na kufungiwa Keja
Ki Rose muhando bado
Namewabeba Bundas liga,
nataka paper, nataka cheda
Ama mnagonga nirudie tena
(Chorus)
Paper paper paper mi nataka iyo paper
Paper paper paper mi nataka iyo cheda
Paper paper paper nawapa presha
Paper paper paper chedda
Paper paper nawapa presha
(Verse 1)
Walidhani ntaingiza baridi
Na Mimi ndio danger Kuky
Ameng'ora Kama nanyesha
Rap Ni Kitu nafanya forever
Mnabonga Sana Na hakuna kitu
Mnasema Rapper si rapper Kama
Hana ego Kama hana ego yeh Ni
Msanii WA bongo Bado nataka
Collabo Na mbosso Ambia wasafi
Rada Ni chafu, nakuja kuchachisha
Bongo Mziki Ni passion lakini hio
Passion haiwezi nilipa Matusi Kwa comments
Haiwezi nilisha Mi niko mboka nafanya
Ado ile day itajipa Ata mkapige polisi
Ripoti hio ufala haiwezi nihinder
[Breakdown]
Niite rudisha
Mi ninakimbizana na majira
Bado hio cheda nataka Italipa
Mbleina anajaribu kuchoma jina
Kuky Ni jina unapea heshima
Donga na Dinga Mistari deliver
Nikama Ni mimba Msanii anabonga Na
Hana charisma Nyota inawaka
Na huwezi nizima
(Pre Chorus)
Niliwashow kitu naogopa Ni
Mungu Na kufungiwa Keja
Ki Rose muhando bado namewabeba
Bundas liga, nataka paper, nataka cheda
Ama mnagonga nirudie tena
(Chorus)
Paper paper paper mi nataka iyo paper
Paper paper paper mi nataka iyo cheda
Paper paper paper nawapa presha
Paper paper paper chedda
Paper paper nawapa presha
(Verse 2)
Nadeal Na Karma Na good luck
Kuna vitu hufai kufunzwa
Nilijam warazi wakabuya
I get that money.....I buy the ndula
Ki foreign imetoka juja
Lakini akili iko runda
Mtoto anatoka Bungoma
Na bunda Ni ka ya Muluhya
Na Kama nilikukosea ntarudia tena
Ka Ni story ya ganji weh Ni ite tena
Mi Ni sugu wa mtaa hatutawabembeleza
Na career iko tight ukidhani ntalegeza
Na kama kichatu natema
Mistari ninazo ka Chweza
Nilianza nikiwa kapyenga
Kiromelo lukaku nachenga
Na hawa vijana natesa
Nishakafunga nasepa
Pre Chorus)
Niliwashow kitu naogopa Ni mungu Na kufungiwa Keja
Ki Rose muhando bado namewabeba
Bundas liga, nataka paper, nataka cheda
Ama mnagonga nirudie tena
(Chorus)
Paper paper paper mi nataka iyo paper
Paper paper paper mi nataka iyo cheda
Paper paper paper nawapa presha
Paper paper paper chedda
Paper paper nawapa presha