Malaika Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Malaika - Nancy Hebron
...
malaika malaika malaika ni viumbe wa mungu
malaika malaika malaika ni viumbe wa mungu
wanaishi mbinguni na pia hapa duniani kusimamia kazi ya mungu wa kwel
ni watenda kazi wa mungu wapo kwa vitengo mbalimbali
wapo malaika wa ulinzi wapo malaika wapiganaji
wapo malaika wa injili, wapo malaika waimbaji
wapo malaika waponyaji nao waviziaoo
malaika malaika malaika ni viumbe wa mungu
malaika malaika malaika ni viumbe wa mungu
wana mabawa wana sura kama mtu wapo kwa majina yao wapo kwa vyeo vyao
yuko mkuu Mikael yupo malaika Gabriel yuko malaika Raphael yupo yaziduni
yupo malaika Elika na wengineo wengi
malaika wa mungu wa kweli watumishi wa kwel
malaika malaika malaika ni viumbe wa mungu
malaika malaika malaika ni viumbe wa mungu
ni marafiki wa watumishi (wa kwel)
ni marafiki wa waumini(wa kwel)
wanawalinda, wanatembea nao
na ile cku ya mwisho siku ya unyakuo ndio watakaotumwa kukuchukua ww
Wewe uliye mkubali yesu ww unayempenda yesu ww uliyemkili yesu watakuchukua ww
na wataomkataa yesu hawatakua na urafiki nao kwa kuwa hakika malaika ni watiifu
malaika malaika malaika ni viumbe wa mungu
malaika malaika malaika ni viumbe wa mungu