Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2023

Lyrics

Sitaki Kuwa Single - Msodoki Young Killer

...

Baada ya kuyajua ya Adam na Hawa

Ndio nikaanza kuamini umoja una power.

Una wake up in the morning unasali

Unaget shower then

huna ata wakunywa naye kahawa

So I have so many reasons why.

Sitaki kuwa Singo nahitaji wa kumkumbatia

Na wakumkisi shingo, kwenye ziwa la mapenzi

Mvuvi anifanye pekeyangu hata wakija na lensi

Watu wasione nyavu zangu

Hata fungu la kukosa

Linangoja lipate

Laha jipe mwenyewe ila ukipewa

lina Raha yake

Life haiwezi ngoja hadi ujipate

Nikuziba tundu la panya kwa silesi za mkate

Nimekuwa muwazi miaka rudi miaka nenda

Na kila ndege anatua kwenye mti anaopenda

Tukiteleza ikabomoka tunayajenga

Na sio mbele za watu mara tunavutana chamber

Ni wazi naifanya kazi na napata bingo

Ukichezea life inakuchapa fimbo..

Mbio za sakafu huishia kwenye ukingo

Now nataka kuwa na wife

Sitaki kuwa single, " Sitaki kuwa single"

Nataka kuwa na yeye sitaki kuwa single

Sitaki kuwa single

Nataka kuwa na yeye sitaki kuwa single..

Ni wazi waaminifu ni wachache

Na kama mzigo unafika ya nini punda afe

Kila kizuri na kasoro zake

Cha kwake cha kwangu cha kwangu chake

Simaanishi kuwa siwezi kuishi pekeyangu

Namaanisha nataka wakumpa upendo wangu

Simaanishi wa kuzichezea hisia zangu

Namaanisha wa kumuweka kwenye moyo wangu

Na vipo vya kushare sio mapenzi

Yamewaliza wengi na me mwenyewe yashanikuta

Long time hadi nikaona ni ushenzi

Maana mawazo mengi

nikaomba msaada kwenye tuta

Lakini sasa nimejifunza mengi

Chuki haijengi

Na gari haliendi bila mafuta

Nataka kuenjoy raha ya mapenzi

Yaje yarudishe chenji

Uzuri ukitoa Mungu anakupa

Nimekuwa muwazi miaka rudi miaka nenda

Na kila ndege anatua kwenye mti anaopenda

Tukiteleza ikabomoka tunayajenga

Na sio mbele za watu mara tunavutana chamber

Ni wazi naifanya kazi na napata bingo

Ukichezea life inakuchapa fimbo

Mbio za sakafu huishia kwenye ukingo

Now nataka kuwa na wife

Sitaki kuwa Single, " Sitaki kuwa single"

Nataka kuwa na yeye sitaki kuwa single

Sitaki kuwa single

Nataka kuwa na yeye sitaki kuwa single

Everyday I'm hustling nani ataniliwaza

Nilirelax sana sasa nani atanikataza

Tuunganishe family and to know each other

Kifuatacho hatua kuwa Fadher and Mother

I know I can sitaki kudandia mbele tren

Wa miaka buku ten na sio wa one night stand

Upe haki yake moyo nao upate faraja

Nnapo ongelea mapenzi why nikose kukutaja

Wengine washenzi walinifanya daraja

Wakaubeba moyo kwenye mfuko wa shangazi kaja sina haja kulaumu wala kuwataja

Mwenzao mwenye akili inayo chaji kama charge

Sitaki kuwa single wala sitaki kuwa chimbo

Mpambanaji wa kweli hawezi kuukimbia ulingo

Ni wazi naifanya kazi na napata bingo

Ukichezea life inakuchapa fimbo

Mbio za sakafu huishia kwenye ukingo

Now nataka kuwa na wife

Sitaki kuwa single, " Sitaki kuwa single"

Nataka kuwa na yeye sitaki kuwa single

Sitaki kuwa single

Nataka kuwa na yeye sitaki kuwa single..

More Lyrics from Msodoki Young Killer Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status