Freestyle Session 6 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Freestyle Session 6 - Msodoki Young Killer
...
Unajua hili unipoteze inabidi uwe umepotea ee
Msodokiiiiii
Ma-snitch kawewe nan'goa pia, hapa labda sikuokoe dua
County kakupika kabla hujaiva kakupakua
Me wa kitaa muulize babuu anajua (khe khe khe)
Kama mimi hauwezi kuwa, coz am the best show killer
Waulize waliokupa tour Fiesta,Wasafi mhuni nishakisanua
Kwanza hatujawahi muona demu wako, dogo acha kujichua
Mbele ya kamanda alafu unanyea kambi, na nishamega bebe zako hadi kabla hazidangi
Eti tamba pande zako, pande zetu hautambi
Nakubalika na wote na hadi anayekuuzia ba***
Siri ya Killer kwanza weka Young kisha Killer, Killer ni muuaji ila sina maana hiyo ya killer
Killer ni Killer nazidi kuleta picha taswira, bila hasira sivutiwi sichukii kuitwa Young Killer
Weka sura nikuruge, acha goli nikufunge
nime-takin' over hii kitu tangu yupo Boss Ruge
Tangu viwanja vya posta vinauzwa laki dube, enzi za bongomovie na utapeli wa Dude
Ukiongelea hiph-hop Mwanza na Kaskazini, ukiongelea mwamba ni King Joh Makini
Ukiongelea mkwanja sijui utanifikia lini na upo level ya kuamka alafu hujui utakula nini
Stupid fata kwa screen wallpaper, low temper ukiona dow kwanza unacheka kwanza umepata Zero Necta sikia upate lecture sio unatoa nyimbo kelele kama za jenereta
Nikiku-zoom hata sikuoni zaidi ya ku-complain, open your brain
Uwezo wako mdogo rudi shule wakaku-train, u-superstar dogo sio tu kununua cheni
Kudai haki bila kufuata Sheria ni kufanya fujo, na sio mistari mi napiga mbaka judo
Kanaleta impact kuliko hata akudo, utatoa mimba yangu dogo acha kutunisha tumbo
Zingua tena nikutoe utumbo, unatoa uuumbwa bandani kwa kufuata mkumbo
Mi nimejengwa kwa tungo, maujanja ni lundo nakupa mistari mingine kaipokee ubungo
Pumbaaaaav (in Vicent Kigosi voice)
Msodokiiiiii in the house, so make some noiseeee
Lyrics by Suge JK