Mimi Ni Nani? Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Mimi Ni Nani? - Roma Mkatoliki
...
Beat.......(tongwe records....!)
Mnaikumbuka ajali ya Mv bukoba
chanzo ni mm nikaua watu 1000
hata nyerere hakufa kwa kansa y damu mnajidanganya na wengi hamjanifahamu nilimua mwalimu huko wingereza... Mv spaic ile ajali nili itengenezaa na hata Lulu ni bure tu mlimfungaa mimi ndo niliee mua marehemu steven kanumbaa..
Kuna muda ikigoma sumu na wapa kisu kipindi niko Dodoma nilitaka kuua Lisu Kila mkoa kila nchi natembea niliendaa Afrika kusini nikamuua Ngwea... Marelia ilimua Langa sietii eeh Kweli hamnijui mimi ndo nimemua yule mwamba... Lusanga,Muheza,Tanga mnaikumbukaa ilee ajali ya Sharo Milioneaa mimi ndo niliepindua ile gari na Mkude nikamuacha avuke Tanga nikamfuata udee udee .. South wakasema si uje na huku umuee na Ruge.... Sikufanyaa ajizi nikamfuataa mchizi.... Je? Nani anaefatia Saiz....!
MIMI NI NANI? ......
Israel mtoa Rohoo... (mimi sio israel mtoa rohoo....)
MIMI NI NANI?........
we Mungu basi.... (Mimi sio Mungu....)
MIMI NI NANI?.....
labdaa Mtume au Yesu.....! (Mimi sio hao.....)
MIMI NI NANI?...........
wewe ni ni ni ni ....................!
Je Me ni Nani?.......
mwezetu basi jambazi......! (mimi sio jambazi......)
MIMI NI NANI? ......
We Kifoo mwenyewe ww.... (Mimi sio kifoo)
MIMI NI NANI?........
Shetani we pepo tokaa.... (Mimi sio shetani....)
MIMI NI NANI?........
MIMI NI NANI?..............
(VILIOOOO....)
Hivi mnadhani mimi na umia nikiona mna lia... ama mnadhani naofiaa nikiona ma Fear
Je mimi ni nani? mnadhani mna weza nizuia haiwezekani nawambia hadi nimalize Dunia.... sina mipaka ndo maana nikatoa uhai wa Mkapa Na mpka mnazika zikusita tena kumfuata MAGUU
Nanilikua na gadhabu nikaondoka na roho yake na nchi nzima ikastajabu....
Dantu, compex, banza, vivi