Jicho Nyanya ft. TK Moover Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
TK Moover
Wat a gwaan? Yoh, TK
Arooo
Jicho nyanya, ficha na digaga
Jicho Nyanya, Jicho Nyanya
Jicho nyanya, zikishika nacheza na wasichana
Ni mchana, usiku twamaliza kwa kitanda
Sitabanja, nitacheza kimimi akinibamba
What a bam bam? Galdem, watashangaa
What a bam bam? Gal tetemesha, mi nashangaa
What a bam bam? Galdem, tetemesha kwa kitanda
When I pull out mi gun
Gal I know you like it, so gimme 90
See I do it my way
Mi niko irie, lemme remind them, one time
Jicho nyanya, zikishika nacheza na wasichana
Ni mchana, usiku twamaliza kwa kitanda
Sitabanja, nitacheza kimimi akinibamba
What a bam bam? Galdem, watashangaa
Mi huwa simind them
Rooch Mazeh, one of a kind, yes
Nax V nawawin y'all know I'm king men, who can deny it
Jicho nyanya, ficha na digaga
Mi ni rasta napenda wasichana
Jicho nyanya, zikishika nacheza na wasichana
Ni mchana, usiku twamaliza kwa kitanda
Sitabanja, nitacheza kimimi akinibamba
What a bam bam? Galdem, watashangaa
Ni nini mimi sina? Mi namedi kujenga jina. Mimi ni star
Nikitazama, hii mziki so far, mi ninapaa
Sina lawama, hatuezi kosana, sipendi madrama, izo nakataa
Mi nina tamaa, ya kuwabamba. Nina tamaa
Jicho nyanya, zikishika nacheza na wasichana
Ni mchana, usiku twamaliza kwa kitanda
Sitabanja, nitacheza kimimi akinibamba
What a bam bam? Galdem, watashangaa
Jicho nyanya, ficha na digaga
Jicho Nyanya, Jicho Nyanya
Jicho nyanya, ficha na digaga
Jicho Nyanya, Jicho Nyanya