Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Jaribu gani - The Bronze Wall Ministers

...

Ni jaribu Gani

asiloliweza mungu

vijana wale

watu kwenye Moto

wanne katokea

ni mungu wa miungu

yupo nasi

kwenye majaribu

wengine hawautambui

Mkono wake karibuni

nasi Leo tuna habari

Mkono wa bwana

watosha

wengine milima

wengine mabonde

wengine mikosi

hawawezi eeleza

wengine motoni

wengine magumu

wengine machungu

vilio vya zidi

pengine safari

imekua ndefu

watafuta njia

isiyostahili

hakuna jaribu

asiloliweza

mtazame yesu

atalitatua

........

wengine hawautambui

Mkono wake jaribuni

nasi Leo tunahabari Mkono

wa bwana watosha

wengine milima

wengine mabonde

wengine mikosi

hawawezi eeleza

wengine motoni

wengine magumu

wengine machungu

vilio vya zidi

pengine safari

imekua ndefu

watafuta njia

isiyostahili

hakuna jaribu

asiloliweza

mtazame yesu

atalitatua

wengine milima

wengine mabonde

wengine mikosi

hawawezi eeleza

wengine motoni

wengine magumu

wengine machungu

vilio vya zidi

pengine safari

imekua ndefu

watafuta njia

isiyostahili

hakuna jaribu

asiloliweza

mtazame yesu

atalitatua.

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status