Amepotea Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Amepotea - Mbosso
...
Vipeperushi vinasambaaa eti natafutwa
Nimepotea, wiki imekata
Ndugu wamechachamaa, wananitafuta
Nimepotea mwezi imekata
Kazini sionekani, yupo wapi huyu
Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
Baba kaniuoizia, yupo waapi huyu
Mama haishi kulia, yupo wapi huyu
Mimi, nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi
nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi
Sio "*":. mwana Rahabu mlomkuta Tanga
Sijafanywa msukule msipate tabu kumaliza waanga
Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
Penzi lawa sasa mbule lenye protini vitamini na wanga
Aaah ladha yake, si sukari
ni vichenza na malimao
Mechi zake huwa hatari
Ni chenga na mabao
Kazini sionekani, yupo wapi huyu
Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
Baba kaniuoizia, yupo waapi huyu
Mama haishi kulia, yupo wapi huyu
Mimi, nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi (msinitafute, msihangaike,.....)
nimezama katika kina kirefu cha bahari ya mapenzi
Nipo salama mimi, nipo salama mimi, msinitafute niko salama mimi