Napendwa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Napendwa - Kusah
...
Wallah nyingi, sitaki kitu sitaki chochote
Nataka mapenzi kama sio hivyo mtanizika
Siumwi kitu siumwi chochote
Naumwa mapenzi jama mwenzenu nimeridhika
Na bado akinipa nalipaa na kuna siku tunapaa
Funua funika tunafika kwenye paa
Eti will you marry me, will you marry me
Honey will you marry me, will you marry me
Eti will you marry me, will you marry me
Honey will you marry me, will you marry me
Mwenzenu niwaambie sijawai mimi kupendwa hivi
Mwenzenu niwaambie napendwa mimi kushinda nyinyi
Oya we ili penzi lipo huku napewa vitamu huku
Kuna udabwidabwi huku mabwembwe nyingi mambo kibao
Natena mwenzenu huku nimejawa na shahuku
Natamani avuke huku tufike kwao
Mi na ye kitambo tushamshinda shetani n
Mambo ya kwetu ya ndani hayatoki nje ni ya ndani kwa ndani
Ananipa mambo sio chini kitandani na
Tukigombana kwa ndani hayatoki nje yanaishia kitandani