Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Rebecca ft. Mercy Masika - Christina Shusho

...

Christina

iyeeh×2

alikuwa mzee mwenye miaka mingi

Mungu naye amembariki Na vitu vyote (yeiih)

ewe mtumishi wangu

nenda Kwa nchi yangu

ukamtwalie mwanagu Isaka mke

Yule mwanamke atakubali kufuatana Naam

yehehee

katika nchi

Mercy:

Eee Mungu

mfadhili mwanagu

Ibrahimu

Ee Mungu eh(eh Mungu eh)

Na binti

nitakaye mwambia uninyweshe

naye atasema ndio

nitanywesha Na ngamia zako

huyu ndiye Yahweh

Christina

Sisi Ni wale

majibu ya Rehema

Sisi Ni wale

matokeo ya Rehema

Sisi Ni wale

majibu ya Rehema

Sisi Ni wale

matokeo ya Rehema

Chorus:

Nanywesha ngamia zangu eh

Nanywesha ngamia zangu eh

Nanywesha ngamia zangu eh eh eh

Nanywesha ngamia zangu eh

Nanywesha ngamia zangu eh

Nanywesha ngamia zangu eh eh eh

(oh uwoh uwoh)

(Catchy interlude)

(oh uwoh uwoh)

Rebecca

mschana mrembo

msichana mrembo fanya kazi Kwa bidii

asiwe mvivu

asiwe mchoyo Saidia Na wengine

mschana mrembo

mwenye maono Na mwenye maombi

asiwe mvivu

Na uende Na wakati

uende Na wakati

Rebecca alidhani anasaidia mgeni

Na kumbe ugeni ulikuwa Ni wake

Rebecca alidhani ananywesha ngamia tu

nakumbe ngamia zilikuwa Ni zake

Sisi Ni wale

majibu ya Rehema

Sisi Ni wale

matokeo ya Rehema(Rebecca )

Sisi Ni wale

majibu ya Rehema

Sisi Ni wale

matokeo ya Rehema(uuh ooh uoooh)

Chorus:

Nanywesha ngamia zangu eh

Nanywesha ngamia zangu eh

Nanywesha ngamia zangu eh eh eh(iyeh)

Nanywesha ngamia zangu eh

Nanywesha ngamia zangu eh

Nanywesha ngamia zangu eh eh eh

(Catchy music interlude )

Rebecca

Written by Sty Khoikhoi

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status