Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2023

Lyrics

Habari Ya Mjini - Lady Jaydee

...

Zile zama za chigombana kuzozana pambana

Zimepita tumeshibana jifunza sameheana

Kwa maex nimejifunza kua single si atama

Nakupenda sioni kosa naserenda sina namna

Ninayodhamana kukuhadithia lolote linalojibuu

Pia ninayokalama nishakuangalia ni wewe uliekaribuu

Sina haya na penzi lako asubuh adhuhuri

Penzi lifunike na kawa inzi wasije ndani

Sina baya na penzi lako ata ije tufani

Kwani tufike ata na ngarawa dhuruba hatuioni

Wewe ni habari (habari ya mjini)

Wewe ni kibari (kibari changu mimi)

Wewe ndo fahari (fahari yangu mimi)

Uwe mali za ndani (mali ya kwangu mimi)

Wewe ni habari (habari ya mjini)

Wewe ni kibari (kibari changu mimi)

Wewe ndo fahari (fahari yangu mimi)

Uwe mali za ndani (mali ya kwangu mimi)

Penye zuri baya haliwezi kupenya

Kama moshi wa ubani unavyopotea

Hadhi yako zaidi ya mwatimu kwa maneno yalivyopangwa

Kugombana ni kawaida kubwa kusameheana

Wangu kinanda unanipatia hisia mwanana unaniletea

Huna matata unaniwezeaa

Penzi shatashata eeh unanipatia

Sina haya na penzi lako asubuh adhuhuri

Penzi lifunike na kawa inzi wasije ndani

Sina baya na penzi lako ata ije tufani

Kwani tufike ata na ngarawa dhuruba hatuioni

Wewe ni habari (habari ya mjini)

Wewe ni kibari (kibari changu mimi)

Wewe ndo fahari (fahari yangu mimi)

Uwe mali za ndani (mali ya kwangu mimi)

Wewe ni habari (habari ya mjini)

Wewe ni kibari (kibari changu mimi)

Wewe ndo fahari (fahari yangu mimi)

Uwe mali za ndani (mali ya kwangu mimi)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status