Huruma Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Huruma - Bam Boy
...
HURUMA
Ivi yaliumbwa kwajili ya nani kama si kwa wote
Yana ninyima amani yanafanya niyaogope
Yashanizunguka nipo dimbani maumivu siku zote
Yanani garausha jamaniiii ah
Nani anitolee zamana roho yangu napata tabu
Mwenzangu anajifanya haonii ah
Yani kama nimebeba dunia imenielemea adhabu
Naitamani peponi mmmh
Nimekuwa chakavu bakusi ilo katika kamba
Nimebaki mbavu ushuzi ulimi usoramba
Bega vitobo nyavu matanuzi umeyazika yamebaki tanga
Umenishinda ushupavu azarusi ya risasi kwa panga
Webinadam kama mimi mbona umekosa utu
Unionei huruma unionei ah
Kunamuda nakufumania unaniada nanyamavu
Unionei huruma unionei aaah
Ivi kweli ni wewe najiulizaga
Unionei huruma unionei
Mmmh mapenzi yamekwisha yamekwisha kabisa
Unionei huruma unionei iiiiiiih
Walisema wahenga mapenzi unga mbingu ardhi na walimwengu
Nipo zama nashindwa pigambizi yananichengua chengu
Nishajaribu adikujidadisi pengine kunajambo embu ila kila nachodiriki najionea mazengu zengu
Aaaaaah ushantema chini nikauke mate
Furaha ah ah ah imeondoka imeniacha ntapetape
Mabalaa ahahah yamesongamana yamepata pahali pake
Nimesinyaaa uuh yani tate tate
Nimekuwa chakavu bakusi ilo katika kamba
Nimebaki mbavu ushuzi ulimi usoramba
Bega vitobo nyavu matanuzi umeyazika yamebaki tanga
Umenishinda ushupavu azarusi ya risasi kwa panga
Webinadam kama mimi mbona umekosa utu
Unionei huruma unionei ah
Kunamuda nakufumania unaniada nanyamavu
Unionei huruma unionei aaah
Ivi kweli ni wewe najiulizaga
Unionei huruma unionei
Mmmh mapenzi yamekwisha yamekwisha kabisa
Unionei huruma unionei iiiiiiih