Mzee Wa Busara (Remix 3) ft. inspector haroun Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mzee Wa Busara (Remix 3) ft. inspector haroun - Juma Nature
...
it's another one *2
mmmh mzee wa busara
touch .... mh
wa busara kaacha msala,
karejea kufanya Toba,
amekuwa mtu wa Sala,
kala usembe kala uganga kaacha kuwanga wanga
mwanga tuu muongo tuu
ameleta umbambamba tuu kiki naa
,,,,,,,,,,,,,,,,
amesema wamepika hao
kisa hamjampakulia
mchango hamjachangia
na bado mnamsifia a
sa mbona
kachoma choma mapembe,
kavunja vunja vibuyu
na pale barazani kwake si kaukata ule mbuyu
Hana madhara Hana mkoba yupo empty mweupe mithili ya teja au paka zoba
,,,,,
uoga tu kustay washamvuruga Othman bay na basdei
hapana nakana tulikula nae vimiminika
Sasa anaaminika
ohooo oow
chorus
vishawishi vimemponza mpaka kafanya msala (mzee wa busara
ni mzee ambaye tunaishi nae kwenye nyumba za kupanga (mzee wa busara
vishawishi vimemponza mpaka kafanya msala (mzee wa busara
natena majirani wanahisi huyu bwana mwanga (mzee wa busara
kwenye vijiwe vya gahawa na bao
wa busara anawapa mshangao
analaani vikali huo mtandao
mtu mzima hovyoo asalalaa
kazua msalaa nashangaa
unaota unapaa angani
Jaman mna Mabawa au anakujia popo bawa mwanga tuu
kiroboto kasim juma unamnanga huyu mzee mpaka anatia huruma mbona juzi tuu alishinda na watoto wa gaza
watoto walicheza salama majiran akawashangaza
sio kwel
kuchunguza Mambo ya watu haikulatu katu
ukweli kuhusu vitu kuchinjia ngoz za watu aa anachokitaka kutulostisha tuu
swala la umaskin kichaa hata halibebei bango
chorus
alishajaribu kumroga mama Samia akaangamiaa
mpaka hivi Sasa anawatumbua
mzee wa busara
kutwa anawangaaa
take five now