Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2014

Lyrics

13 ft. Fid Q & Belle 9 ( (kumi Na Tatu)) - Msodoki Young Killer

...

Ahahahahaha

13

Bongo records


Mama ndo alinitabiri

Mi ntakuwa star na nyota kila pande

Nikiwa na raha kwa mwenda hasira nsijigambe

Usimpige mkeo piga shangwe maana young killer so ngazi

Kwahyo mwambieni shetani asinipande

I think big is my dream big kuwa bigger wa michano nigger ambaye tajiri atanijua

Kuwa msodoki nawaficha mistari

Udogo wangu nimekula mchicha na ndo maana nna fikra za kuona mbai

Msukuma naisukuma mitikasi inatulia

Hata francis cheka naeza mpiga punch akalia

Wanaoijua njaa ndo wanaamini chakwanza kilimo mi staki kugombania ustaa hali nkifa ntazikwa chino

Wabovu wakichana imo na hawajui nguzo tano

Leo kwenye ustaa simo kisa sina mwonekano, mi nna power! Ni ibada niloomba baada ya kipato pole dada ulenitosa kisa umenzidi kidato

Futa jasho na damu saka noti hali tete

Watoto wanamjua dai-mond na joti Zaidi ya kikwete

Popote niko fiti tega sikio shoga hata akitoa jicho vipi hawezi akayaona mafanikio ndiooooooo

Msodoki na ngoshaaa

Ile miujiza ilotabiriwa haina haja ya kwogopa

Nafasi nilizozichezea yawezekana zisirudi lakini nna uwezo wa kuzitengeneza nikiongeza juhudi

Ooh

More Lyrics from Msodoki Young Killer Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status