Unaionaje ft. Harmonize Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Unaionaje ft. Harmonize - Harmonize
...
Hahahahaaaa
Touch
Ujue mi sinaga swaga kabisa
Haa kumekucha masela hebu tembezeni stick
Manaake mziki hauna hela ila hela kuipata mziki
Sikufichi ama wapendo wanakoma
Asa ndo naua bendi maana natoboa kila ngoma
Wananisoma ngoma mbomba kwa
Touch
Walonambia nile kona nkawambia wale penalti
Toka jiji la samaki mama aliponipa siri kuwa biashara fasta hakuna mwanaharakati tajiri
Pili watu wa ajabu sana
Ila mi nna adabu sana
Mabest hapa ni kusoma mwana
Wasanii wanaroga sana
Kwa maana vibent vicheche
Wote tunampenda mungu maana mpaji hapingiki sa vipi anaekupa hai huku akisema mungu akubariki
Siwezi kushiriki kwenye dhambi yako ili ukatwe mikono kisha ule kwa macho
Nsipovuja jasho walokuwa nyuma yangu watakula wapi
Hapo ndo naamin kuwa mwenye huruma hanaga bahati
Huu ndo uwezo binafsi vijana mrelax
Nakuomba usimtusi baba kama hujui utakula wapi
Na hadith za sungura mi staki ee
Niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki na ukiskia nauza sura juu ya laki
Maana uhai ni faida ikiwa hasara ni nafsi
Usichoke kunjaa kunja ukujavyo mi ntatusua
Hizi juhudi so ndumba
Akishapanga apangavyo huwezi pangua
Asa temeke na ilala
Ha ha unaionaje
Eeaaa
Ase unaionaje
Hadi manzese mbagala
Ha ha unaionaje
Eeaa
Ase unaionaje
Ha chuki huletwa na wivu na kushushiana hadhi na rafiki wa karibu ndo atakuharibia kazi
Atakupindishia michongo na kukuvunjia nazi
Bongo ukifanikiwa unachukiwa waziwazi ila sisi kazi kazi
Wengine tumetoka kwenye msoto
Kuoga mpaka tushikiwe viboko naona umeandaa mkaa
Afu hauna kiberiti we mtoto
Chokoza wana wakuwashie moto
Hebu nipitie kushoto maana unanichukia hata hunisaidii
Unantukana hata sifatilii sizimii chuki maana mwisho kuroga
Mwisho unakuwa mchawi kwa maana utamu kunoga
Unaogopa nini toba we binti acha uoga
Mbona una guu la bia halafu nguvu ni za soda
Sura haishiki poda unasifiwa na mawaki
Kisha unaota mapembe utadhani unakula nyati
Binafsi
hadith za sungura mi staki ee
Niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki na ukiskia nauza sura juu ya laki
Maana uhai ni faida ikiwa hasara ni nafsi
Aah
Usichoke kunjaa kunja ukujavyo mi ntatusua
Hizi juhudi so ndumba
Akishapanga apangavyo huwezi pangua
Aa kinondoni nyamala
Ha ha unaionaje
Eeaaa
Ase unaionaje
Aa kigamboni kimara
Ha ha unaionaje
Eeaa
Ase unaionaje
Chuki nichukie ila roho yangu niachie
Aaaya ee
Mwenzangu na mie why
Nikipata we uchukie
Nahustle kivyangu nipate shiba
Yeeah nipate shiba
Cha mtu so changu mwiko kuiba
Yeeah mwiko kuiba
Aah sihofii wanafki na chuki za binadamu na maneno so trafki kwahyo hayanisimamish kwenye jamu
Usichoke we kunjaa kunja ukujavyo mi ntatusua
Hizi juhudi so ndumba
Akishapanga apangavyo huwezi pangua
Aa kinondoni nyamala
Ha ha unaionaje
Eeaaa
Ase unaionaje
Aa kigamboni kimara
Ha ha unaionaje
Eeaa
Ase unaionaje
(Msodoki na kondeboy) x3
ahahahahaaaa
Pambana na hali yako
Its another one
Ahahahahaaaa