Nitasubiri Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nitasubiri - Neema Chuwa
...
miaka mingi inasongaa, hali yangu ni zaidi ya janaah
kila kukicha afadhali ya jana
bwana nimebaki lakin sijakata tamaa
babaa wenzangu wanafanikiwa bwana mimi niko palepale
lakin shida ha!inizuii kukuamin
bwana nakuamin
badooh nitasubiri nitasubiri
badooh majira yangu hayajaja ya kubarikiwa
mana badooh nitasubiri (nitasubiri)
bado majira ya kuinuliwa hayajafika
sijifananishi na wengine mana baraka zangu kubwa kuliko zaooh
kila mtu ana njia yake ya kupitia
nami bwana amenipa hii
nasongaaa kwa ujasiri ×2
sitokata tamaa mana yuko na mm
huyu bwana yesu anishindia
majira nisiyotarajia nitainuliwa
majira nisiyotazamia nitabarikiwa
mama yasiyotarajiwa nisiyotarajia nitafanikiwa
badooh nitasubir, nitasubiri ×4 bwana nakungoja baba ooh uwwh eeh nannana na nitasubiri aah aah