Wapi ft. Baddest 47 Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Wapi ft. Baddest 47 - Drimo Papi
...
It is what it is again
Haha
Less goo
Papi
Bad boy but me i'm not criminal
Nakula nyama ila me sio cannibal
I make you vibe maximum sio minimal
All i do all ma shit hit international
Lemme give you introduction
Naitwa Papito toka A town miliman
I'm d king of seduction Yeah
I'm super fine all ma drip is original
Wahuni Wahuni
Mpo wapi watoto wa town
Wapi tunakula io mitungi
Wapi tunabamba izo gauni
Yeah
Wahuni Wahuni
Mko wapi watoto wa town
Wapi tunakula io mitungi
Wapi tunabamba izo gauni
Weedy
Tushaikusanya mitonyo
Tunavowafanya ni konyo
Mpishano ni masaki na Bonyo
Upo titi upo nyonyo
Kwa style hii
Mali itaisha bila daftari
Life linachange boy usikariri
Usitabiri
Jembe langu la kulima tu
Me sipalilii
Ouh ma gash
Chop ma Goddamn cash
Coz you got sweet nyash
Less go tu Lubumbash
Wahuni Wahuni
Mpo wapi watoto wa town
Wapi tunakula io mitungi
Wapi tunabamba izo gauni
Yeah
Wahuni Wahuni
Mko wapi watoto wa town
Wapi tunakula io mitungi
Wapi tunabamba izo gauni