Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2017

Lyrics

Umebadilika ft. Banana Zorro - Msodoki Young Killer

...

lamurete mi vida mikurasoo

teamo teamo miamor


lamurete mi vida mikurasoo

teamo teamo miamor


pokea busu shavuni kutoka kwa mnyamwezi

ambaye uliona nakurubuni mdanganyifu wa mapenzi

leo umeniona kanuni bila mimi jibu uwezi

chozi mwanzo wa uzuni maji huleta utelezi


sasa unalala salama unakumbata picha yangu

usiku njizi inakwama bila sauti yangu

leo zamu yako mama si unakumbuka hasi zangu

kipindi unanitukana unadai sio type yangu

sasa unaniita mchumba unaamini nitakuoa

hadi macho unanifumba hata tongo tongo sijatoa

unanipa hadi mavumba nisifurie nikaboa

unamshukuru muumba zawadi ka mimi kunitoa

si ulinisema kwa baba ako ni kamaa ataniazibu

ukiwa na wenzako mkiniponda kwa zabibu

hukujua nitakuwa wako nitashinda majaribu

ingawa mwaka mzima nilihaso kufuata ili unipe jibu


ni niniiinii kilicho badilika

ni niiiniih kilicho kubadilisha

ama ni miiimiiih nime badilika

siamini mi umekamatika umeshikika

umebadilika weeeeh


ya nini utumbo uutupe ukanipa nikaulia ndizi

mpaka pande za fukwe tukasepa kubalizi

hauna shauku pale unapoona machizi

eti unampenda Belle na Ice ndo wapo easy

unanipa ushauri pamoja tunaujadili

ukasema una nafsi moja huwezi kutupenda wawili

nafasi niliyonayo kwako zaidi ya kunipa nwili

sa ni ndoa hitaji lako umechoka kusubili

sasa haulali hadi unipigie phone

unadai nina kosa kubwa la kuutesa moyo wako

naheshimu hisia zako unavyosema unaniamini

hata vocha ya laki moja haitoshi kuongea na mimi

mapenzi yangekuwa ni maji nahisi ungenioa bahari

mapenzi yangekuwa kipaji nahisi ungenipa mistari

hauutaji ushauliwe juu yangu mwamuzi wewe

unasema moyo wako wangu na mi ndo chaguo la wewe


ni niniiinii kilicho badilika

ni niiiniih kilicho kubadilisha

ama ni miiimiiih nime badilika

siamini mi umekamatika umeshikika

umebadilika weeeeh


nimekupa nini unadai

tofauti na sauti nzuri nayokuimbia kitandani daily unafurahi

ama ni swaga za majinzi na tai

ama ni penzi zuri nalokupa asubuhi kabla ya chai

umechoka kuniita killer unataka uniite mume

mapenzi yangekuwa ajira ungeniajiri kidume

nishakuteka fikira so inabidi tu ujitume

kuniweka sawa kisha tuwazibiti paka shume

unasema ungejua mapema hata usingelinga

ungenipokea kwa kwa moyo mmoja na mikono ungekinga

kwa kiss za kutosha ungeni hug kila saa

na kama ungekuwa malkia ungenihonga hata Dar

sikufichi mamaa unanipa raha

umeshinda vita yako ya mapenzi na sitojiita shujaa

sitaji nishauliwe juu yako mwamuzi mimi

nasema moyo wangu wako na wewe ndo chaguo la mimi



ni niniiinii kilicho badilika

ni niiiniih kilicho kubadilisha

ama ni miiimiiih nime badilika

siamini mi umekamatika umeshikika

umebadilika weeeeh


mmh mmmh


ama nyimbo za mapenzi zimeee kubadilisha

Maneno yangu ya mahaba mpaka umebadilika

siamini mii umebadilika umeshikikaa umekamatika

weeei yeii

Man water

MD classic Msodoki

More Lyrics from Msodoki Young Killer Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status