Hatuna Kesi ft. Fid Q & Belle 9 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Hatuna Kesi ft. Fid Q & Belle 9 - Msodoki Young Killer
...
haa haa hha!
killer)firt of all sina bahati, ila poa nahisije
kwangu safi kwani siku zote hua naishije zingua na upigwe, uibishwe wee staki nikupe moyo maana ake me nife ubaki ee,
skosoi haki ila inatesa acheni,
Naskia aliyegundua pesa pia alikufa na madeni.
Saaa! si ujinga wa wazi wakutumia ngazi chini ya uvungu,wakati hizi surprise kabla ta ya harmonize na mzungu.
Ok shutout to all friends who became my family hatufanyi mziki wa trending na hii kauli mbiu kamili.
naukifahamu hii ushangai hawa pindi wakinitukana kama ndo za vibibi na vijana
Nishakua sasa maana kupata ni kutumia.
Tena hadi sasa hata kwa buku napata bia na supu ukitaka pia we muchuchu uliedata skia me na ishi kirasta japo virasta vya kuzugiia..
kukasehemu kumbe muhuni kumbe staki ugumu wa game umefanya hadi kamilioni amekua kalaki,
So waambieni hao watoto wakuwe waachekucheza nyimbo zao ambazo ukisema ununue mia tisa(900) inapendeza..
Belle9) hooww!! Really light unataka hutaki,,.(killer,ndio×2)
Mkiwaka tunawapa alafu safi, tuko (goodaa)×2 tuna mbele ya wakati
^sio kess^ , Tushapuuza stress hatutaki
(Hatuna) ×4 oyeeaa!
(Hatuna)×5 kesi na yeyoteee¡¡
FidQ) Hakuna superstar wa bongo leta star wana wanakunyea unapigwa dongo unawakataa kwa shombo wanakupondea
Chuo cha bongo kwenye makala za umbea naumjadala hata kwa mchongo
Kwa haya masuala ya kuongea,
Endelea kuwa push push sio kazi kuuza kush bab..
Hauwezi gushgush swazi kuna wazushi mab
Town hadi bushi dwanzi aunigusi bab.. Wahuni tuna tusi tusi hatuhifadhi chuki bab..
Natoka chocho chumban naingia kati dar ya moto moto cha ajabu fire hutumia maji
Naroporopo so haya hujitia hushababi nyie watoto tu mnastahiki juma nyoso apewe nandy
killer) mabigwa wa majungu
FidQ)Na msio ingiza note mfukoni mbwa apewi sifa kwa kupigwa kofi mgongoni
killer) hippop misingi kuifuata ni kutafuta njaa
FidQ)Nisha feli mara nyingi sijaiyacha kukata tamaa..
Nipo kitaa tu na wauni suti wanainukisha bangi
killer) Mafanikio
FidQ)Nikama chupi hakikisha hawaijui rangi u so ukikaba nalia kwa baba jesca
tunakaza part najaza hakuna anayetumia pesa..
Belle9) hooww!! Really light unataka hutaki (killer,ndio×2)
Mkiwaka tunawapa alafu safi, tuko (goodaa)×2 tuna mbele ya wakati
^sio kess^ , Tushapuuza stress hatutaki
(Hatuna) ×4 oyeeaa!
(Hatuna)×5 kesi na yeyoteee¡¡
Hatuna)×4 oyeeaa!
killer) "yavanya".... yeyeoyyeoo
Hilo ndo tatizo sugu so waambieni wana waweke traffic nyumba za wageni mana kule watu wanagongana. ..
Belle9) Hatuna kesi na yeyotee!
hahah..haah hhaa...
....,,ujue me sinaga swaga kabisa yanii!
official :@Kelvin Benson01