Tumia Pesa Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2022
Lyrics
Tumia Pesa - Kushman
...
Kushman Pedi wa magengee, Classic sounds Ah, Leo ntakunywa (ntalewaa) hadi ntembee na magoti Ah, Leo mchoyo ameguzwa (raha) anacheza na manoti (hakuna macoins) Ah, we umesota me nshalipwa, uko na mashilingi mingi hadi kwa kichwa(wahh) Si pilipili inaniwasha ni manoti,, hadi tabia zangu zote naughty (sana) Leo dead stock itauzwa (ahh) Leo bikra ataguzwa (aki wewe) Yule chali yake stingy ataumwa (ahh) Na sijali Mbona watu hukuwa na pesa ni wachoyo kushinda hata wachoyo,, Pesa ni kama mayai pia huoza Kutumia pesa si makosa (Alaa) tumia pesa,,,,,,,tumia pesa,,,,,, Acha uchoyo tumia pesaaa, Tumia pesa ikuzoee (Alaa)