Uwezo Wa BWANA ft. Neema Busee Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Uwezo wa Bwana
Ni mkuu
Ni mkuu sana
Anaweza yote
Kwani hakuna linalomshinda
Aliwaponya wenye magonjwa
Vipofu waona
Alifufua waliokufa walimshuhudia
Uwezo wake ni wamilele
Hata leo yupo
Kwani yote yanawezekana
Kwa jina la Yesu
Anao uwezo
Wakubadili maisha yako leo
Kimbilio letu
Kwani hakuna linalomshinda
Aliwaponya wenye magonjwa
Vipofu waona
Alifufua waliokufa walimshuhudia
Uwezo wake ni wamilele hataleo yupo
Kwani yote yanawezekana
Kwa jina la Yesu