Ni Tabibu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
….
Ni tabibu ww
Tabibu..
Ni tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Na rehema za daima
Ni dawa yake njema
Ni tabibu wa karibu tabibu wa ajabu
Na rehema za daima ni dawa yake njema
Imben malaika sifa za yesu bwana
Peke limetukuka jina lake Yesu
Imbeni malaika sifa za yesu bwana peke limetukuka jina lake yesu
…………
Tabibu wa karibu
Asnt yesu
Hatufai kua hai wala hatutumai ila yeye kweli ndie atupumzishae
Hatufai kua hai ila yeye kweli ndie atupumzishae
Imbeni malaika sifa za yesu kristo peke limetukuka jina lake Yesu
……………
Dhambi pia na hatia ametuchukulia twenden na aman ata kwake mbingu*2
Imbeni malaika sifa za yesu bwana pekeeee limetukuka jina la yesu