Koth Biro ft. Ayub Ogada Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Koth Biro ft. Ayub Ogada - King Kaka (Rabbit)
...
Ahhh ayee ayeee *3
Umaa uwinja,
Koth biro,
Keluru dhok e dala!
Ok!
Yule ukupigia story za watu
Niko sure yu piga story zako
Wewe unadhania niko underdressed
Juu nimevaa halfcoat/
Saahii wengi wanaomba akili yangu ingekuwa na subtitles
Na road ya success inakuwanga always under construction
So niko in good terms na Mungu na yeye unipa passion...
Nilikuwa natumwa duka nikiwa mtoi
Naona ni far sana
Mwenye duka alikuwa ana smile
Juu nilikuwa na stummer
Kindness uonwa na kipofu na usikizwa na kiziwi
Nataka nione far naraukia passport Gigiri
Sababu nina goals in life but wanazishika
Kaa Origi
Niliambiwa shoka ndogo uangusha kubwa mti
Na kifo tu! Ndo inaweza tibu upumbavu!!!
Aaaa aaayeee ayee*6
Yeah, bado niko na bidii ile ya mchwa
Sijui kaa ndio zinanikula kichwa
Na siplan kuwacha uwalimu soon,
Wengi hawataTeachiwa,mabinti wataDitchiwa
Before walikissiwa
Hakuna haja ya haraka unless unafuata nzi
Babu aliniambia kaa chini nikufunze kipindi
Jua inahepanga moon naskia haijailipa deni
Nililearn hiyo lesson nusu
Juu alikuwa amekalia kreti,
Na ma hiccups,hkk!,zile za son hkk!
Wengine hawatakuachilia wakati utasota
Ata ndevu yako ikishika moto wengine wataiota
Ati nisiwahi steal,maganda nipeel
Na moreso nisitry kureInvent the wheel
Nirudishe sufuria na kile niliomba kupikia
Nina raondi ndogo leo
Watu wangu wa laikipia mafans ready to die
Wananiimbia Adisia
Sikudanganyi ready to die,sio eti nawapandisia...
Aaa aaayeee ayee*6
Yeah
Mom aliniambia cham chiembie
Cham mchendi go Oganda
Namshow mom atimo thum moro.
Gi ayub Ogada
So waliniacha kuniassume,nikech tinde adum thum
Na product ya ulimi yangu inauzwa Khartoum
Ni ukweli Mungu alishindwa kuchora zebra,
The rest zikawa punda?
Usiadvertise shida zako hakuna mtu atazibuy
Na wale watazibuy wataziweka FB na watajidai
Unang'ang'ana kumpenda adui
Rafiki huamshughuliki
Na wengi hawa wasanii humake sense only April 1st
Siwezi waalika kwangu hivu karibuni
Na nikiwaalika nafunga bafu ndio
Wasidunge kifungu kwa sabuni
Natoka Estlando Wewe hujui ability za wahuni
Believe me sofa set na fridge itatoahea kwa pochi
Na watapita na smile jirani hatawai notice
Opportunity ugonga mlango temptation uivunja
Na hauwezi umwa na tumbo ukiswallow pride yako!!!
Ahhh..ayee ayeee *3
Umaa uwinja
Koth biro
Keluru dhok e dale!