Leka Dugite Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Leka Dugite - KIGOMA ALLSTARS
...
Kigoma aee Kigoma weeh (tunayo furaha)
Leka dutigite
Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite wishala mwineke
K-k-k-k town Kasulu ndio baba alipozaliwa
Ooh japo nipo Dar naupenda mkoa wangu
K-K-Kigoma kama vipaji tumejaliwa
Kaseja na Lunya fahari mkoa wangu
Amawesele hivilibwani vikulava kadwumba (pozi kwa pozi)
Kigoma mkoa wangu ndio fahari yangu
Ardhi yenye rutuba ya kustawisha chelewa
Gombe na mahali wenye sokwe wasiolewa
Kigoma inapendeza sana
Twashukuru hivi ndivyo ninavyosema
Nina furaha, mbuga zetu
Nina furaha, makumbusho yetu
Ninafurahi eei ninafuraha
Kigoma aee Kigoma weeh (Kigoma)
Leka dutigite wishala mwineke
Kigoma aee Kigoma weeh aee
Leka dutigite wishala mwineke
Kigoma ndipo nilipotoka
Nimekuja Dar kutafuta
Siku zote nitawakumbuka
Najivunia na sitajuta (nakumbuka)
Nakumbuka mama alisema (nakumbuka)
Mkataa kwao mtumwa (datugite)
Kigoma inatambaa
Tanganyika inabamba
Tufurahi, tusherehekee pamoja
Twajivunia Kigoma
Tunamshukuru maulana
Kigoma lango la Tanzania
Bandari kwa kahawa shaba kwa matania
Amani kwa wazawa Kasulu, Kibondo, Ubunza
Avandu bakundi vikogwa
Ziwa refu tunalo
Na madini tunayo
Tuna mbuga za wanyama kama Gombe na Mahale
Ardhi safi tunayo
Na vipaji tunavyo
Sauti safi tena tamutamu tamutamu
Vigelegele na mashamushamu shamushamu
Kigoma yetu mambo bambam bambam
Meli ya Lyemba
Wanasiasa mashujaa
Watetezi wa taifa ye
Kigoma tunatoka wote mastar ye
Miss Tanzania K-lynn ye
Kaseba champion ye
Leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite wishala mwineke
Kigoma aee Kigoma weeh aee
Leka dutigite wishala mwineke
Kigoma aee Kigoma weeh aee
Leka dutigite wishala mwineke
Kule kwetu migebuka
Wese na ugali wa muhogo, aga wa muhogo
Ndio vimenifanya nikawa Diamond
Kwa vitenge na mashuka, ah
Mise na chumvi kidogo, aga kidogo
Na tena mbuga nikawa mfalme
Tena Kigoma ya sasa sio kama ya zamani Kigoma ya leo imesonga mbele
Kuzebazeba ya sasa sio kama ya zamani Kasulu ya leo
Amani na upendo
Ndio lugha ya Kigoma
Kigoma ishagoma
Kigoma yaenda mbele
Rangi yako ya kijani
Upepo wako ni mwanana
Kigoma nakupenda
Kigoma unanipenda
Amani itawale Kigoma
Amani itimie Kigoma
Amani mlinda Kigoma, shigoma Kigoma
Amani itawale Kigoma
Amani itimie Kigoma
Amani mlinda Kigoma, shigoma Kigoma
Shukrani Kigoma
Kigoma nyumbani Kigoma
Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite wishala mwineke
Kigoma aee Kigoma weeh aye
Leka dutigite wishala mwineke
Kigoma aee Kigoma weeh aye
Leka dutigite wishala mwineke
Kigoma aee Kigoma weeh aye
Leka dutigite wishala mwineke
Kigoma aee Kigoma weeh aye
Leka dutigite wishala mwineke
Kigoma aee Kigoma weeh aye
Leka dutigite wishala mwineke