Umewazidi Wote
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Umewazidi Wote - Bahati Bukuku
...
Maneno yao umeyasikia (×2) Eti wanasema hivi nilivyo si hazi yako Eti wanasema kukupata wewe mimi sio hazi yako Eti wanasema mimi nilivyo elimu yangu ndogo Maneno yao umeyasikia maneno yao Eti wanasema mimi si fanani kuwa na nyumba hiyo Eti wanasema mimi nilivyo si hazi yako Hawajui tulianzia wapi hawajui Hawajui Kuna siri gani hawajui wanavyo tazama majumba hayo hawajui Hawajui mchango wangu kwako hawajui Wanavyo kutazama unavyo pendeza hawajui Hawajui hekima yangu kwako hawajui Hawajui ushauri wangu umekufikisha hapo Maneno yao nimeyasikia maneno yao Hawajui busara zangu zimekupa uonekane Hawajui maombi yangu ndiyo yana kubeba Hawajui nafasi yangu kwako hawajui Hawajui busara yangu kwako hawajui Hawajui ninavyo kuombea hawajui Wananitazama wanani hukumu ila hawajui Wanasema sifanani nawe wanasema hawajui maombi ninavyo omba yanakupa cheo Wanasema maneno yao wanasema (×2) Siku zote tabasamu rangu ni faraja kwako Ila wanasema hawajui wao wanasema Maneno mazuri ninayo tamka ukienda kazini Ndiyo maana cheo kinapanda ndiyo maana Ndiyo maana ofisini una heshima ndiyo maana Ndiyo maana unapata nafasi nzuri ndiyo maana Ndiyo maana biashara zinakwenda ndiyo maana Ushauri wangu kwa wanandoa wote siku zote Ushauri wangu kwa wanaume wote siku zote Neno hili lisitoke kinywami mwenu neno hili (×2) Binti zao wengi wamefanya mema lakini mke wangu (amewazidi wote) Mabinti wao wamefanya mama ila huyu peke yake (amewazidi wote) Nimewaona warembo wengi lakini yeye (amewazidi wote) Nimewaona warembo wengi yeye mke wangu (amewazidi wote) Katika mabinti nilio waona yeye peke yake (amewazidi wote) Nimewaona warembo wengi lakini yeye (aliwazidi wote) Katikati ya wasomi wengi yeye peke yake (amewazidi wote) Hatanilipo tembelea vyuo vyote yeye peke yake (aliwazidi wote) Nilipotembelea vijiji vyote yeye mke wangu (aliwazidi wote) Ndoa ina siri kubwa ndoa ina (×4) Moyo una siri kubwa moyo una (×4) Ndoa ina siri kubwa ndoa ina (×2) Moyo una siri kubwa moyo una (×3)
Similar Songs
More from Bahati Bukuku
Listen to Bahati Bukuku Umewazidi Wote MP3 song. Umewazidi Wote song from album Bahati Bukuku Singles is released in 2017. The duration of song is 00:06:55. The song is sung by Bahati Bukuku.
Related Tags: Umewazidi Wote, Umewazidi Wote song, Umewazidi Wote MP3 song, Umewazidi Wote MP3, download Umewazidi Wote song, Umewazidi Wote song, Bahati Bukuku Singles Umewazidi Wote song, Umewazidi Wote song by Bahati Bukuku, Umewazidi Wote song download, download Umewazidi Wote MP3 song
Comments (61)
New Comments(61)
Lasty Ebby
If you have Ecobank account or Moninpoint account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2349166580100
Sakwam official KE
This song reminds me of grace that God gives us Always.Am blessed ❤️❤️❤️
Sakwam official KE
Hawajui yote ni ya Mungu Hawajui
Nice Jerry
If you have Ecobank account or Moninpoint account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2349166580100
capriconsam
nice
Nanjesh Mary
hii wimbo ni poa sana
Naomitpyn9
[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f641][0x1f641][0x1f641]
venaline chepngeno
benn4uge1
gd
Emmanuel 64y0g
song's are good May God bless you
Hawa Hijab0udq
[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618]
janety mwakupha
[0x1f618]
q11