- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Inuka - Florence Mureithi
...
Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
Tawala una kibali
Msaidizi wako yu ndani yako
Nikueleze jeulivyo na nguvu
Umepewa uwezo, kwa Roho wa Mungu
Usife moyo mteule, Ufalme ni wako
U mrithi, pamoja na Yesu
Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
Tawala una kibali
Msaidizi wako yu ndani yako
see lyrics >>Similar Songs
More from Florence Mureithi
Listen to Florence Mureithi Inuka MP3 song. Inuka song from album Inuka Mteule is released in 2021. The duration of song is 00:05:56. The song is sung by Florence Mureithi.
Related Tags: Inuka, Inuka song, Inuka MP3 song, Inuka MP3, download Inuka song, Inuka song, Inuka Mteule Inuka song, Inuka song by Florence Mureithi, Inuka song download, download Inuka MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Richard Kitui Wamalwa
Inuka jitie nguvu, simama u mshindi Tawala una kibali Msaidizi wako yu ndani yako Nikueleze jeulivyo na nguvu Umepewa uwezo, kwa Roho wa Mungu Usife moyo mteule, Ufalme ni wako U mrithi, pamoja na Yesu Inuka jitie nguvu, simama u mshindi Tawala una kibali Msaidizi wako yu ndani yako Nikuelezeje, hakuachi Bwana Hadi mwisho, wa dahari Fungua macho mteule uone mbali Giza latoweka, pambazuka Inuka jitie nguvu, simama u mshindi Tawala una kibali Msaidizi wako yu ndani yako Inuka jitie nguvu, simama u mshindi Tawala una kibali Msaidizi wako yu ndani yako
Bramoxinder bridgire
great song
Maryanne 254

blessed