Sifa ft. Ben Pol
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Sifa ft. Ben Pol - Rostam (TZ)
...
Eeeeheeeya wamemchokoza bear huu ahahah Yes..Umepewa nywele sasa weaving wigi la nini Nitashindwa mimio hii ligi ya umasikini Nyoa hata para upunguze hela ya mafuta Au panki ka chotara kinyakyusa mamushka ADS Na hayo macho ulipewa unione mimi tu kitu Ambacho am so proud of you amini kwamba Sitoruhusu yamwage machozi kama namba we Ni tisa mimi ni sita yes of course na pre ensure Kama msomali hiyo pua ingejengwa na tofali Ingeendeleea kuyafyatua mungu Ni fundi na nusu kakupa mashavu soft ya kupiga Mabusu sio kupiga makofi na ilo sikio ulilo Pewa usilitoboe toboe dj mwisho utoboe hadi Ngoma mumeo usinisikie na hayo meno yasiningate Mdomo ninyonye nidate ulimi nimlambe haste Haste na moyo wako unifwate Check Out: Gloc-9 - Iba't Ibang Bangka Lyrics Nifanye kama niko peke yangu dunia nzima Usinifanye kama yele x boy friend Uko mkonno salama kwenda kwa wazazi lazima Nakuletea mpaka yote yanyooke sifa zote unazo Kichwani mpaka unyayo umepewa utajiri wa Urembo wa siri dunia (Tumia) x8 iyo shingo ulopewa sio ya kuvalia mikufu Ni vyema ukavaa Tas B ama rosary tukufu Please usipende kuhonga mikono mashoga Maana hio mikono umepewa kuungia mboga Kifuani chuchu dede mpaka sijui ni saa ngapi Mama umepewa maziwa watoto wavulie samaki Umepewa tumbo hili tujaze dunia Sio la kulia kiepe nyama choma wala bia Kuna sehemu umepewa sio lazima kuitaja Mungu Bwana kaificha katikati ya mapaja Mi mwafrica watu weupe nawachukiaga So nikibeba wazungu naonaga bora kuwamwaga Check Out: Tekno - Designer Lyrics Hicho kiuno ulichopewa sio cha kuchezea baikoko Bali tukiwa chumbani uno feni fifi moto Hutopewa paja na
mguu uvae vikuku na vimini Maana utanipa taabu ya kupambana na wanaopenda chini Sifa zote unazo Kichwani mpaka unyayo Umepewa utajiri Wa urembo wa siri Tumia, tumia Tumia, tumia mama Tumia, tumia Tumia, tumia eeh Sauti hio ya kuniita Mwendo huo wa kunifuata Kucha hizo za kunishika mama Tujenge ngome nawe isivunjike kamwe Pamoja mi na wewe, yeah Sifa zote unazo Kichwani mpaka unyayo Umepewa utajiri Wa urembo wa siri Tumia, tumia Tumia, tumia mama Tumia, tumia Tumia, tumia eeh
Similar Songs
More from Rostam (TZ)
Listen to Rostam (TZ) Sifa ft. Ben Pol MP3 song. Sifa ft. Ben Pol song from album Sifa is released in 2021. The duration of song is 00:03:38. The song is sung by Rostam (TZ).
Related Tags: Sifa ft. Ben Pol, Sifa ft. Ben Pol song, Sifa ft. Ben Pol MP3 song, Sifa ft. Ben Pol MP3, download Sifa ft. Ben Pol song, Sifa ft. Ben Pol song, Sifa Sifa ft. Ben Pol song, Sifa ft. Ben Pol song by Rostam (TZ), Sifa ft. Ben Pol song download, download Sifa ft. Ben Pol MP3 song
Comments (43)
New Comments(43)
pirroczjpe
MWOTA NDOTO
[0x1f631]
given3a8o5
mambo ni mzozo
Iz newton
[0x1f60d]
JacksonBds1bg
Tumbo umepewa la kebeba watoto sio la kunywe pombe. Mungu bwana kaiweka ktkt ya mapaja.Nkbeba wazungu bola n wamwegee
Morine Peteri9cll
❤❤❤
Max Rizo
daffa
Dax-boe
Nice vibe
violetfdv5e
freshiq
Mudycxpwi
[0x1f636][0x1f636][0x1f636]
Anoldkavisheb
good
ulimi unilambe aste aste n moyo wako unifate