Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Sijabahatisha - Alice Kimanzi

...

sijabahatisha ..bahatisha...

upendo wake ni hakika na kweli akipenda hawezi kuaacha... upendo wake ni hakika na kweli akipenda hawezi kubwaga kipi cha kututenga na Yesu maana akipenda hawezi kuaacha eeeh sio njaa sio shida wala dhiki yeye akipenda hawezi kubwaga



chorus

sijabahatisha kukutana na baba anayenipenda huyo ni Mungu ×2


Kabla sijampenda yeye alinipenda kabla sijazaliwa tayari alinijua

Nilipokuwa gizani yeye alinifia nilipokuwa mpotevu kwa upendo alinisaka ,waminifu wake ni wa milele banana Agano lae la dumu milele,ukarimu wake ni wa milele naaa fadhili zake za dumu milele



Anayeponya ni yeye,Anayeokoa ni yeye,Anayehuisha nafsi yangu ni yeye Anayeiinua ni yeye anayetosha ni yeye Anayeituliza dhoruba ni yeye


Anayenipenda anayenipenda huyo ni Mungu

Anaye anaye nitosha huyo ni Mungu yulee anayeiinua huyo ni Mungu, anayebariki si mwingine anayenijali kanipa kibali huyo ni Mungu ,,, sijabahatisha kukutana na baba

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status