Blow Up (feat. Fid Q) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Blow Up (feat. Fid Q) - Rich Mavoko
...
maliza mishemishe unipitie
kabla hujatoka unitwangie
kuna chodo tujimbie
kuku wengi ujichinjie
twende tukablow up
tukablow up
night tuka blow up
tuka blow up
amenimwagia jichoni mchanga mi sioni tena
michezo ya shimoni ukichanga hukopeshwi tena
sibaki changama ooh changama
tushikane mashati tuje pigana
agiza ndama leo nachoma nyama
uchu mchana naona mkiminyana
Fanya bidii jitahidi
ifike mida kigiza tufaidi
jioni tukablow up
tuka blow up
night tuka blow up
tuka blow up
wengi ujichinjiee
tuka blow up
tuka blow up
night tuka blow up
tuka blow up
tangu underground kabla sijablow up
niliamini kwa hizi sawa
watoto wa mtaa wote watashow up
nilipo na nikamrudisha kwao visiki nikaving'oa
ile simple na wakanivisha crown mbishi nikaitoa ah
wako wapi mashpapi wawekaji slow slow
ulisema hutaki usinifate haki usinifosifosi
unatembea ka mpoto ukihisi miba vaa
nyumba huteketea kwa moto haina shida brah
jioni tuka blow up
tuka blow up
tukalipuke wanangu mambo sio powa
night tuka blow up
tuka blow up
chinja nyingi mixer nyingi hadi unadoa
jioni tuka blow up
tuka blow up
night tuka blow up
tuka blow up
wengi ujichinjie
jioni tuka blow up
tuka blow up
night tuka blow up
tuka blow up