Go Rapcha Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Go Rapcha - Rapcha
...
Kwa Heshima ya getto
Nyoosha ngumi juu.. Onetime!!
(yes) Up Up Up
Breaking News Kituo Cha polisi kimevamiwa
Roho Safi ya kirasta
Lifestyle flani toka Westside ya ki gangsta Ndoto ndio zimenitoa mtaani..(bless Up) I'm sorry Mama Kabla ya gari ntanunua Gun
Mchizi tokea Shytown
Nikakutana na Microphone
Inspired na Babastylez, Coweezy Na Babilon Ka ulifunzwa na mamaako ukaleta ubishi Walimwengu hatuhitaji Ada kukuteach
tamaa zinatoa roho
ijia ulichofata hapa town then stick kwenye plan Na Ukikosa self control
Life inakuficha ficha.. whooah
Young star Rap Star
King Shit.. Rasta
Man I love this Game
Nikiwasha Mziki Unafika kila sehem Na Still Wanazimika Na Lifestyle
Chorus
Eeee oooooww
Hauwezi kunitoa kwenye mission
Eeeeeeeehh oowww
Huna la kufanya usitutishe
Go Rapcha! Go Rapcha! Go! Go! Leta pesa ndo nikinukishe
Go rapcha! Go Rapcha! Go! go! Last king of 90’s baby
Street Life Codes kwenye hustle
Hujui Nani Atakusave fanya uwe peace na wenzako Maana haya maisha Kama taulo lako
Sehemu inayofuta Uso jioni Asubuhi ilifuta Tako
Ukiwa na pesa baba pisi Hazinuni
Boss Kagandwa na chawa Afu hajikuni Usiyakanyage ukiwa Chaka na wahunii Jikute Una sura mbaya afu hujui ngumi
Kabla ya Music ilibaki kidogo niwe priest
Ila mchongo ukawa tough sikufichi
Boom ghafla nkaanza kutamani vidada vibichi nkachafukwa Nkaanza kuvipelekea 6 inch
So nafanya for the Culture
I came a long way siwezi kacha
Hii struggle from streets mpaka niwe Rockstar Till the day I go down
Bongo ita sing my name
So Pay Respect whenever you hear ma name
Young star Rap Star
King Shit.. Rasta
Man I love this Game
Nikiwasha Mziki Unafika kila sehem Na Still Wanazimika Na Lifestyle
Chorus
Eeee oooooww
Hauwezi kunitoa kwenye mission
Eeeeeeeehh oowww
Huna la kufanya usitutishe
Go Rapcha! Go Rapcha! Go! Go! Leta pesa ndo nikinukishe
Go rapcha! Go Rapcha! Go! go! Last king of 90’s baby