Hainistui Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Hainistui - Harmonize
...
Yaw yaw ,
hahahaa,
Jeeshiii (young legendary)
Konde boy
hainishtui x3
hapa nilipo kesho yangu sijui
konde wenzako watakuroga hainishtui
au nawe ushaoga hainishtui
mana hunaga uoga hainishtui
hapa nilipo kesho yang siijui
leo nimepata kesho nimekosa
kazi ya Mollah haina makosa
huyu kampa boda mwingine verosa
vuta subira ngoja Mungu hajakutosa majungu na vitina nanah zigeuze changamoto
maneno muachie mina nanah dawa ya moto ni moto
ooh nahnah
wapo walosema Konde atapoteaa
Konde atapotea
Jembe katia gear chombo hiyo inapepeaa chombo inapepea
nakula kwa jashoo ooh
nipatacho naridhika nasubiri kesho ooh zamu yang itafika
nenda waambie
hainishtui
hainishtui
hainishtui
hapa nilipo kesho yang sijui
wenzako wanakuchukia hainishtui
tena wamepanga kukubania hainishtui isitoshe wao ni matajiri hainishtui
usijari we tumia tu akili hapa nilipo kesho yang sijui
sinaga sifa za kujisifu najua
kila kukicha kwa Mungu naomba Dua hustle nazidisha ili nizidi tusua wakinifunika kesho nitawafunua
tena waambie eeh mchanga hauzikwi unaubadilisha makazi
huwez ziba ridhiki bure utajipa kazi
nakula kwa jashoo ooh
nipatacho naridhika
nasubiri kesho ooh zamu yang itafika
nenda waambie wambee
hainishtui
hainishtui
hainishtui
hapa nilipo kesho yang sijui
mwana anakula tungi mbaya hainishtui yule Dada anadanga Malaya hainishtui ataishia pabaya hainishtui
hapa nilipo kesho yang sijui
ina Ina Ina (next killer)
inaumaa ila itabidi wazoee
inaumaa ila itabidi wazoee
wakimuona Dodo na Choppa
inaumaa ila itabidi wazoee
sikuiz Konde Gang wanatuogopa inaumaa ila itabidi wazoee
Hunter hahahah
kwako mwalimu kashasha