Selekta (Selector) ft. Angry Panda, Jeshi Jinga, Scar Mkadinali, VJ Chris & DJ Epic Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2021
Lyrics
Selekta (Selector) ft. Angry Panda, Jeshi Jinga, Scar Mkadinali, VJ Chris & DJ Epic - VDJ JONES
...
Vdj Jones ft scar mkadinali x jeshi jinga x Angry panda
.....
chorus
shukisha bana nayo nayo bana selekta
chunisha kinande ibakishe bigi ameteta,
cheza na rada cheza na rada ya warembo
selekta selekta cheza na iyo tempo (x2)
verse scar mkadinali
oya sellekta pandisha iyo debe alfu upewe senetor, msupa nlimpoteza akahata iyo semester, na cna pesa ama n vile m nahemesha, napiganisha kwa mrenga m nkikereka, uliza m n nani m c ovyo ovyo ,ka mkadi bangi npate madogogio, ikibidi naendea mkopo, chunga bibi ucjee ukanilelea mtoto
(aaaaah)!!
Nairobi walinikanya nwache kutumia super watu ma emoji za biringanya (ma emoji za biringanya),, na pori imejaa wanyama iyo ndio reason utapata kwa ngozi nmejaa maalama,, eka irori ka unadai kuroria, nina na mamorio na mangwai kwa gunia, yko n morny joh mshori c ezi umia, iva kondiko kwani uogopi kunoria
chorus
shukisha nayo nayo bana selekta
chunisha kinande ibakishe bigi anateta, cheza na rada cheza na rada y warembo selekta selekta cheza na iyo tempo (xx2)
usingizi n mingi ntalala nkiomoka, mistari na waroro kuwaroga nkisonga, nmeshika mic simama anza kuzitoka ,na selekta apatiwe chupa kwa bill yngu (aaii) angusha tingisha baby napenda ukiwyne, miracle nmefanya nkufanya ukuwe mine, kwa makali kidogo ckuangi nmerely, nani alikuzaa mamaa oh maee (cheza nayo selekta!!) wamelipia hawafai bana kuteta, na mambwa wako sawa na iyo tempo, ucguze waya utaharibu mambo (chuu!)
back 2 the top 2 nawakanyagia cku izi 2ko ontop ,chukua n ka umeserve iyo battyb on top, m love it when u wyne it don't stop
shukisha nayo nayo bana selekta
chunisha kinande ibakishe bigi ameteta
cheza narada cheza na rada y warembo, selekta selekta cheza na iyo tempo(xx2)
(by Mr. poly'sman *237#