Nataka ft. Odi Wa Muranga Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nataka ft. Odi Wa Muranga - King Kaka (Rabbit)
...
Mii nataka nikunywe nikunywe nikunywe
nikunywe Hadi wanibebe Hadi wanibebe
Mii nataka nikunywe nikunywe nikunywe
nikunywe Hadi wanibebe Hadi wanibebe
yeee you say you guy my guy you promised me a bow T
niko na madem kama kinde kwa moti
title Olympics mummy Mimi Ni pro
ka huna credo usiniflush Mii si Choo
vile umecarry bana Mii nimecarry rather
true love Ni mug haujasoma bana
tunasheherekea kipchoge na akina kipkemboi
ambia Steve hamna ata simple boy
unaongea na mwaura mwengine Ni pang'ang'a
Mii nataka nikunywe nikunywe nikunywe
nikunywe Hadi wanibebe Hadi wanibebe
Mii nataka nikunywe nikunywe nikunywe
nikunywe Hadi wanibebe Hadi wanibebe
odi wa murang'a nawa change Kama diapers
ka ni momo nambeba kejani na kitractor
kama huko sure napima turi na protractor
miguu zake mabegani stingo ni za smart phone
odi king kaka tegera na goma
ndani ya tire zetu nibegoiratoga
nang'u na mandom
jaba za Sodom
Leo tire tunaseti ni za hong kong
odi king kaka tegera na goma
ndani ya tire zetu nibegoiratoga
nang'u na mandom
jaba za Sodom
Leo tire tunaseti ni za hong kong
Mii nataka nikunywe nikunywe nikunywe
nikunywe Hadi wanibebe Hadi wanibebe
Mii nataka nikunywe nikunywe nikunywe
nikunywe Hadi wanibebe Hadi wanibebe
nikunywe Hadi wanibebe Hadi wanibebe
nikunywe Hadi wanibebe Hadi wanibebe
Hadi wanibebe Hadi wanibebe