Mwizi Mkubwa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Mwizi Mkubwa - King Kaka
...
Kuna watu aina nyingi Nairobi
wo-wo-wo
kuna matapeli na kuna mapasi
wo-wo-wo
kuna masafara na kuna mababi
wo-wo-wo
zuba zuba basi utapatana nani
wo-wo
na yote hayo ina karibia kumi mwanangu
haifikili ...hawakupendi hawakujali achana nao;hao Ok .....
unaja anayecheza dram ndio wakatike wawili wakosawa wanaoimba haki yetu hawako sawa hawajui haki ni nini .Nawajui lakini wanajua ile mia walipewa asubuhi walitungiwa nyimbo na wabebe picha ya adui line of duty so hawaogopi tear gas labda bullet hata owe rembo aje iwe ya gold hakuna anayetamani casket ,baada ya reporters wata report after cameras watajitoa
wanajipanguza na towel baridi hata kaa mahi imelowa ,we unaona kaa spider imelala hio kitanda ndio trap ya manga . since Ilikuwa peas full demo and then in a free tishrt na ufiche dimanga hataki bad pablisity taxpayer akifika home awashe TV na protester akifika home aulize wife wapi dishi
si asubuhi kabla nitoke hapa nilikuachia 50/=
unakuwa rafiki ya chief jua umekanyaga kamba
so 10/= ya mafutaa taa 5/=mafuta 20/= mboga 10 deni 5/= nyanya , na mbona ijaiva tangu mchana naenda nikirudi nipate imeiva niko kwa mama pima na uko wata exchange venye yeye huguruma kwa nyumba, vile masomo ni bure na moto wake hukaa mbele sio nyuma lakini si unajua dentist haaminiki ka mdomo yake Inanukaa
huyu rain maker alidhani mvua haitanyesha kwake
vijana wanakaa waso so watampiga ngeta wamnyanganye ile balance ya ile 50/= yake si uyu politician angechora hawa washike jembe ngeta instead awape mawe wake kwa potholes maji wakasafishe pablic hospitals lakini so so ya ngware ilisha isha so demo ni lini tena niambie tu cama niko ndani to late politician ako kwa ofisi awezi ata salamu labda umune kwa gazeti vile tangu aingie ameiba na vitu za bitha zimekuwa crazy .But si unajua moto wa panya ni panya tu tutaitwa na tutafanya tu tumesajau kuwa kio cha jami tumekuwa tu wasani .na politician ana rally kesho anaumiza utachukuwa ngapi .Anafungua barbara mbovu kesho alilagai ndio aishi karen na utaenda umsifu tu ju amekupea maelfu in hundred adui ana busara ni vyema kuliko rafiki fala anyway don't mind me back to your regular programming ata mi nauliza demonstration uko lini nangoja tu iyo soo niambie uki pata uniambie nangoja tu iyo soo usisahau manzee nangoja tu iyo soo
(chorus)
wanasema nini Wana siasa wanapochocha vita
wanasema nini raia wanapouana wanasema nini vijana wakishiriki ualifu si ndio basi use I was hao babao mlungula jameni hawakupendi hawakujali usisahau mta unabongaa(*2 )