Yesu Ni Wangu ft. Danny Gift Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Yesu Ni Wangu ft. Danny Gift - Guardian Angel
...
guardian angel
Jesus you said yeehaa
.......
Yesu ni wangu ni wa uzima was milele×2
eeeh sema Bwana Yesu ni mwokozi wangu ndiye wa uzima wa milele
Yesu ni wangu ni wa uzima wa milele
(Yesu ni wauzima) wa milele
( ni wa uzima) wa milele
( tambua ye ni wa uzima) wa milele
(ni wa uzima)wa milele
Niende wap na kwako ndo kuna uzima aaah
we ndo wangu wa uzima wa milele×2