Viatu (Taarab Fusion) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2007
Lyrics
Viatu (Taarab Fusion) - Nyota Ndogo
...
Rafiki yangu,mpendwa naja kwako..
siku nyingi wanipokea kwa uzuri siku zoteeee wakati sina wanipa nitakacho
kusiti nisemacho kwako sawa waniombea Mungu
moyoni mwangu naaajua nina rafiki
huyu wa kweli
hakuna yule ambaye atakuja kati yetu
wakati sina wanipa nitakacho
kusiti nisemacho kwako sawa waniombea Mungu
ooh kuna watu na viatu duniani
ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
oooh ukiwa nacho cha wauma ndani kwa ndaniiii
aaah achana na wao waepuke haraka sana
hivi majuzi nilipata kazi nzuri nikaja kukueleza
mtu wa kwanza nilifikiria ni wewe rafiki yangu
nilifurahi na kuruka na kutaja jina lake Munguuu
nikikuangalia mwako usoni umejisononesha
(ukaanza kusonya,ukirusha mikono,sura umeikunja kumbe ukufurahi mafanikio yangu
ilikuwa hatia kuja kukueleza)×2
mtu wa kwanza mimi kumfikiria ni wewe rafiki yangu....
ooh kuna watu na viatu duniani
ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
ooh ukiwa nacho cha wauma ndani kwa ndani
aaah achana nao waepuke haraka sana
(mimi sina ubaya na wewe......)×4
oooh kuna watu na viatu duniani
ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
ooh ukiwa nacho cha wauma ndani kwa ndani
aaah achana na wao waepuke haraka sana