Loading...

Download
  • Genre:Afropop
  • Year of Release:2024

Lyrics

Na Enjoy - Otile Brown

...

Lyrics by Jkrules Mswahili

mmmmh

Hapa ilipofika ni Bora nilinde

amani yangu

maana huu mchezo wa mjini

katu siuwezi

Tatizo mi nikipenda Huwa napenda

kweli

wakati hapa mjini

watu wanigiza,I used to have a love

nilimpenda sana

kanijaza kaniacha mwenyewe

matukio alonipiga,Bado sijapona

mi naona Bora mi nibaki mwenyewe

Though usiulize niko single

Na enjoy Mimi naenjoy Mimi

Naenjoy

Though Usiulize niko single

Naenjoy Mimi naenjoy Mimi

Naenjoy Mimi eh, usiulize niko single

yeaaah

Wala sitamani tumaini Sina

Imani nishapoteza hamnazo Sina

mwambie Ex shobo nae sina

simwazi Wala kumfikiria

mwambie apunguze maneno

mwambie apunguze michambo

kwenye status michambo

kwenye caption maneno

mwambie apunguze maneno

mwambie apunguze michambo

kwenye status michambo

kwenye caption maneno

Though usiulize niko single

Na enjoy Mimi naenjoy Mimi

Naenjoy

Though Usiulize niko single

Naenjoy Mimi naenjoy Mimi

Naenjoy Mimi eh,

Though usiulize niko single

Though usiulize niko single

Uuuuh

Though usiulize niko single

Na enjoy Mimi naenjoy Mimi

Naenjoy

Na enjoy Mimi naenjoy Mimi

Naenjoy

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status