Asante w/ Rayvanny Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Asante w/ Rayvanny - Otile Brown
...
Uuuuh!×2
Kupendwa ni baraka, uwe maskini au tajiri
mwisho wa siku ushindi mkubwa,furaha na amani
aaaah!
Kupendwa ni kwa Neema,kuna wale waliojaliwa Mali,ila ndio sasa wamepungukiwa mapenzi
Niamini Baiby,mimi ni wako,kwako nashikamana hivyo×2
Asante,Asante,kwa kunipenda
kwa kunipenda...
mhhhh,mmhhhhh×2
Nimechoka kumficha,Nachelewa umemuona
Baiby wangu ndio huyu
ndio huyu,ndio huyu×3
Nimeweka na magic mapicha, mtandaoni mmemuona, Baiby wangu ndio huyu
ndio huyu,ndio huyu×3
Nimeona wengi ,siwataki Baiby nakutaka wengi
Nimeona wengi,siwapendi Baiby nakupenda wewe