Amen Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Amen - Paul Clement
...
Najua nabii wa kwanza ni wewe mwenyewe juu ya maisha yako ila leo nataka niseme neno juu yako naitakua hivyo Mungu akulinde na akuhifadhi
"Aame naiwe hivyo
Akubariki mjini pia na shambani
" Aamen naiwe hivyo..
Akupe neema nyingi kwenye maisha haya
" Aamen naiwe hivyo,,,
Mungu akupe uzao Kama nyota za mbinguni....
"Aamen naiwe hivyo;;;
Usipungukiwe maji wala chakula nyumbani
''Aamen naiwe hivyo
Akubariki nyumbani pia na kazini
"Aamen naiwe hivyo
Amen...(heyeee) same amee(ooh amen)
Amen..amen ( iwe hivyo) amen amen ( ame) amen amen ............
Najua nabii wa kwanza ni wewe mwenyewe juu ya maisha yako ila leo nataka niseme neno juu yako naitakua hivyo Mungu abariki kazi ya mikono yako
kila ukanyagapo patakua pakwako...........................
Utakua wa kwanza na sio wa mwisho
##Aamen naiwe hivyo
Kwako hakutakuwepo tasa wala kuharibu mimba
$$ Aamen naiwe hivyo
Wewe hutakufaa bali utaishi
Aamen naiwe hivyo.( simulia matendo makuu ya Mungu) Aamen naiwe hivyo
Bode la mauti halitakuua wewe
&& Aamen naiwe hivyo
Hakuna silaha itakua kinyume na wewe
@@ Aamen naiwe hivyo
Umande wa mbinguni ukustawishe wewe
** Aamen naiwe hivyo (amen) aamen naiwe hivyo (amen) aamen naiwe
hivyo( uinuke uinuliwe ustawi uwe juu) Aamen naiwe hivyo ( amen,amen)amen amen amen amen ( uongezeke.....aamen.amen amen (iwe hivyo,,,, amen amen amen
Najua nabii wa kwanza ni wewe mwenyewe juu ya maisha yako ila leo nataka niseme neno juu yako naitakua hivyo.
"Mungu akulinde"
(baba..baba.baba..baba.baaaa bababam)