Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2022

Lyrics

Ah check check chuu chuuu

Aah aah chuu chuu

Aah

Angry Panda

Under mickey

Cheki cheki


Napenda uki biringika

Kiuno hewani cheki zinatingika

Songa na mdundo wote warudi chupa

We ni msupa mwili bila mfupa


Kamatia chini

Kamatia chini

Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini

Kamatia chini

Kamatia chini

Kamata kamata

Kwani ujiamini


Kamatia chini

Kamatia chini

Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini

Kamatia chini

Kamatia chini

Kamata kamata

Kwani iko nini?


Kamatia chini my lady jiamini

Kwani iko nini shukisha hio mini

Vile una tingisha unasimamisha abdala

Unafanya na chachisha mbaka naleta wahala


Nyuma ni mtungi ndio maana sijifungi

Vile zimebundi naona nikama movie

Zangu zimeshika siezi nikashikika

Zime wai wai we kohoa ntaitika


Vile umejibeba bana aki ya nani

Manze umeniweza bana we ni wa nani

Amka penduka, zinatiririka

Napenda ukipenduka nikama unaaibika


Kiuno kaa mcongo inafanya niwe nugu

Ruka kwa mgongo nguvu ni za umundu

Baby shika chini tukidance culu culu

Tupige ma scene tukichachisha kwa mbulu


Kamatia chini

Kamatia chini

Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini

Kamatia chini

Kamatia chini

Kamata kamata

Kwani ujiamini


Kamatia chini

Kamatia chini

Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini

Kamatia chini

Kamatia chini

Kamata kamata

Kwani iko nini?


Ahh

Tulia apa goshodo nataka nikupange

Sina panga lakini napanga nikukate

Una meze shaa watu mate

Uki kamatia kamatia yani


Mtaka cha mvunguni sharti ainame, na

Ukinipatia nipee kaa umeinama

Unapiga deki mummy na mi hapo nimesimama

Kindukulu na matisha bila ata kubahatisha


Unakamatia mbaka nashindwa ata na kulala

Chai ata ikiwa moto aiwezi ikawasha sigara

Na naona umejipamba mbaka umepaka maskara

We ni kakitu we ni ka odidi odada, na


Unakaa fiti kwanza na ako kamini

Ningeza ningekudishi ukose ata kuamini

Kanini vuruta ako kamini

Pandisha ukishukisha kaa manyanga ya mjini


Kamatia chini

Kamatia chini

Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini

Kamatia chini

Kamatia chini

Kamata kamata

Kwani ujiamini


Kamatia chini

Kamatia chini

Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini

Kamatia chini

Kamatia chini

Kamata kamata

Kwani iko nini?


Kalia dandia nikaa unapanda ngamia

Tafuta pia mahali unaweza jishikilia

Sister napenda vile umejivalia aah

Wololo yayoo mama mia


Miukuwa na kamdenge kembamba

Kafupi kazuri kamerogama

Mkamba goshodo bana kamenibamba

Bam bam kazuri sana figure ni tam tam njoo unipe mahanjam


Kamata pakata sakata parakata

Kama nyuma iko sawa kamata ukipata

Pinda mgongo kaa njia za mwongo

Bingili bingili kaa batoto baa kongoo


Ukijifanya tumbili unapelekwa mitini

Kiuno ni konki bana kama mashini

Aya basi twende cheza na hio tempo

Napenda your umbo inatesa my fimbo


Kamatia chini

Kamatia chini

Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini

Kamatia chini

Kamatia chini

Kamata kamata

Kwani ujiamini


Kamatia chini

Kamatia chini

Pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini

Kamatia chini

Kamatia chini

Kamata kamata

Kwani iko nini?

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status