Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Kubonga mtabonga uko kwenyu hamuezi bonga side zetu (Gang)

Tukifika ni wavy heavy uzfika size yetu

(No)

Home and away uezi tuover play uezi shinda side zetu (Never)

Miufika maside zenyu nkikuja kuteka ma kairetu (Haha)

Aahh

Size yetu

Hamuezi fika size yetu

Kubonga mtabonga izo pande za kwenu hamuezi fika side zetu

Size yetu

Hamuezi fika size yetu

Tukipull up ni wavy heavy uezi fika size yetu


I wake up and get it again

My shawdy be ten over ten

Ni lethal nkishika the pen

These Rappers is dying again

I'm an animal specie ni carnivore mahn I'm the king in the den

I'm back on shit yes is lyrical fitness we never ass kisiin a man


Ni speaker inavibrate Tu

Dem yako anadai date true


Nko studio nadilate Tu

Na beef ukileta ni rapapa mi naikatata then I digest too


Natangu niingie ndani ya game walisema napenda madoido

We putting the work yea we hustling ju tunajua mahali do iko

Wasanii wa chuki wakende na uko uskuje hapa na io ego

Kadonjo kisumo manyonge ni rumo kiwuyoo apat EMI oi go

They know who I am si lazima nionekane

Everytime I'm in the track I gidem a run for the money

I heard they be talking fool nawachanga wangangane

Pa pa makofi Kwa chest ndo ukue unabonga na nani


Kubonga mtabonga uko kwenyu hamuezi bonga side zetu (Gang)

Tukifika ni wavy heavy uzfika size yetu

(No)

Home and away uezi tuover play uezi shinda side zetu (Never)

Miufika maside zenyu nkikuja kuteka ma kairetu (Haha)

Aahh

Size yetu

Hamuezi fika size yetu

Kubonga mtabonga izo pande za kwenu hamuezi fika side zetu

Size yetu

Hamuezi fika size yetu


Tukipull up ni wavy heavy uezi fika size yetu

Otero akifika

Flow zinamwagika

Thickianna anataka nikamuoene Thika

Juu price yangu upandanga kila dakika

Muichomanga refer niwapatie marifaa

Mi nkama khalifa nastone zinashika

Rauka mangware naamshangwa na beeper

Napanga Ka FIFA

Uyo Looser alilipa

Elephant Kwa room napiga gully creeper

Yeh

Imekua so long ndo nidrop mafan wanaitaka wanaingoja eagerly

Mi sifanyi na pupa mi sifally

Mi najijua uezi nchocha na sifa Me

Uliza Nani anareppingi propper anapiganga hard ish na si Tiffany

Na tangu NWA slice kama kimbo na pop kama pimple nasakwa na Kimberly


I Been low-key

Nasaka machingli hommie

Heavyweight kila amefika I'm dunking these niggaz like shaqeil O'Neil

Buda utaloose ukileta kifua if you trynna

Compete with me

Na stoki kejani Ka Pori haina kitu if I ain't gat something on me


Luku ni fendi kiatu ni fendi

Peng anataka io chuma ya welding chuma ya welding

Anataka nispend but miuwa sipendi no no it can't be

I gat the money but i ain't be sending convo is ending


Kubonga mtabonga uko kwenyu hamuezi bonga side zetu (Gang)

Tukifika ni wavy heavy uzfika size yetu

(No)

Home and away uezi tuover play uezi shinda side zetu(Never)

Miufika maside zenyu nkikuja kuteka ma kairetu (Haha)

Aahh

Size yetu

Hamuezi fika size yetu

Kubonga mtabonga izo pande za kwenu hamuezi fika side zetu

Size yetu

Hamuezi fika size yetu

Tukipull up ni wavy heavy uezi fika size yetu

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status