Ulimi Mbili ft. Taz
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Ulimi Mbili ft. Taz - Fid Q
...
Hawamaanishi wanacho sema (lakini), huongea ya maana, Madishi ninayo tema yakipotea ujue unalaana, Wana drama ukikwama lawama bwana akiukana uhasama, Unachanganya kutamaniana ujana na maana ya kupendana,
(mapenzi)Sio mashindano ya flani na flani yakiwemo ubishi, Ni makubaliano ndani ya ki-moyo honey umridhishe, Kuyaanza ni vigumu, kutengana ni rahisi, kuyafanya ya dumu, yanapaswa wakaanga sumu wote uwa-tight,
Unamuita Queen na unapassion ya kumuona, Simu yake ina pin na ma-password kila kona, Na majina kama kadabra, kumbe ni Ibra yani Roma, Na aliemsave kama baba, Ndio ulie jiba nae kinoma, Ukienda kasi utaona life iko fast, Kiasi Kwamba ata your first lover awezi kuwa your last, Unamuona mrupo kisa ulimgonga kwa mshiko, Anakuomba madusko anahonga batonga anagonga vitu, Unamuita darling au wife mama mamito, Unapata habari za wanafiki kuna walafi wanamla hadi jicho, Unaemtaka haumpati utampata wapi,
Anaekutaka hautaki haumpi nafasi,
Akikuteka ukijiweka haukohoi, Utakesha tu unacheka ushatekwa home boy, Weka yeye atoe, asie enzi na usimboe, Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wana ya enjoy,
see lyrics >>
Similar Songs
More from Fid Q
Listen to Fid Q Ulimi Mbili ft. Taz MP3 song. Ulimi Mbili ft. Taz song from album Kitaaolojia is released in 2019. The duration of song is 00:03:57. The song is sung by Fid Q.
Related Tags: Ulimi Mbili ft. Taz, Ulimi Mbili ft. Taz song, Ulimi Mbili ft. Taz MP3 song, Ulimi Mbili ft. Taz MP3, download Ulimi Mbili ft. Taz song, Ulimi Mbili ft. Taz song, Kitaaolojia Ulimi Mbili ft. Taz song, Ulimi Mbili ft. Taz song by Fid Q, Ulimi Mbili ft. Taz song download, download Ulimi Mbili ft. Taz MP3 song
Comments (13)
New Comments(13)
frankjames j5n54
Godloveb1cjg
king kama king
kila01
nyimbo kali, inatufundisha mengi sana asee, na kutufanya tuwe na umakini sana kwenye maisha
Passenger Gideon
hipop imenilea sana
Latifa Moshiaj169
Genius
Elishade93x
mziki mzur hhiphop n kal sana
kila01
mziki makini, kila kitu kipo on point, na flow kali pia kila kitu ipo poa sana
StanBinagi
nomaa
Skipper_Sisal
please share your thoughts#Kitaaorojia[0x1f627]
Hity Sulle
Atari sana fard kumbanda
amandbabw
Bonge ya ngoma mzee
Omary Mbena
ngosha humu nimesikia mziki kabisa ktk hii albam so fleva tu ujumbepia fantastic
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new accountIf you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2348053432125 within 30 minutes time the job is done +2348053432125