Top In Town
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Top In Town - Khadija Kopa
...
top top in town mama wa madoidoi bado Niko uwanjani ...×2 wasaka wapo hoi (wapo hoi) hawajui wafanye mini (hawajui wafanye mini) amewatoa nishai (nimewatoa nishai) wapohoi taabani (wakohoi taabani)×2 anatambisha zoga anawachezesha mchakamchakaa ×2 ndo aliepewa kipaaji (niliepewa kipaji) kwauwezo warabuka (kwauwezo wake jaal) amewashataa kwa maji( nimewashataa kwa maji) na utambi ukawaka (nabado haujazimika)×2 ...
heheiya mama wa kitanzania bado Niko uwanjani ndio Mimi mama wa kizanzibari maskini nnahali ×2 shii mtoto wakidonge niacheni nironge shii kazaliwa mwakadala nimesimama imaraa ×2 mama wa kuwalima tu na simdharau MTU..hiyo ndo hulka yangu Mimi napenda utuu mama wa b unit nikogado Niko fit hiyo ndo hulka yangu Mimi napenda utuu jimama la kinondoni jimbo la mastar wa mjini kopa si duplicate mapedeshe hupiga salute kichuna wa kizaramo nisiekwisha utamuu ×2 sweet wa mwananyamala helkoti ya mikwara (wewe unasema mini)×2 mtasema usiku mtalala na bwana ninae ndani tena naheshima sijarula bado naitwa Queen.. nabado sijafuli bado naitwa Queen × 2 Mimi top in town oh oooh asie nijua nani oh oooh tena nawapagawishaa ooh Africa na marekani oh oooh ×2
nimebahatika mungu amenipa nuru miee hata mkitaka hamuezi kunidhuru miiee ×2 hamuezi kunivua jokho alonipa mungu mwenzenu nimeshapewa acheni yenu majungu×2 si mwengine (top in town×2) toop top top (top in town ×2)tooop....
heheiya sigombei mwanamme nikajitia mashaka ...mwanamke najiamini nipatacho naridhika×2 shii unarusha roho nani unanini we msalka hee namaziwa ya kichina juu umeyapandisha ×2 alah na wowo lakichina wapita ukitingishaa Mimi nikikuachia ujue nmemchokaa nakama mstaharabu ujue sitobandukaa ×2
Similar Songs
More from Khadija Kopa
Listen to Khadija Kopa Top In Town MP3 song. Top In Town song from album Best Of Khadija Kopa is released in 2018. The duration of song is 00:09:27. The song is sung by Khadija Kopa.
Related Tags: Top In Town, Top In Town song, Top In Town MP3 song, Top In Town MP3, download Top In Town song, Top In Town song, Best Of Khadija Kopa Top In Town song, Top In Town song by Khadija Kopa, Top In Town song download, download Top In Town MP3 song
Comments (9)
New Comments(9)
Shebywm58c
Ghulila Mfwangavo
Khadija Kopa
Kassim mavado
heheheiya
137643144
Song was incomplete it wasn't till the end?, though nice.
Hey,WhatsApp Messenger
nc
Ayubu ramadhani Nkupe
nakuelewa sana malkia wang
cjumabmcv2
navua kofia nainamisha kichwa kwa ishara ya heshima kwa Mama bingwa
nuru omarbklmc
bonge la songiiii naikubaliii sanaaa kazi nzur mama khadijaaa wewe ni kabaliii yaoooo....
Beatrice Johnbc1e
love you
Long time ago ❤️