- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Karamu - HEAVENLY ECHOES MINISTERS
...
Je Maulana hajatufanyia ni ni katika kuandaa karamu,karamu mbinguni
tumehesabiwa haki kwa imani tuna ahadi
za thamani katika neno la Mungu uhakikisho wa kweli ulio na msingi
mzuri kwa uzima ule wa milele
hakika karamu ya kiroho imewekwa mbele yetu karamu ya mbinguni *2
Karamu imeandaliwa kwa ajili yetu Bwana ametangaza mbele yetu kwa hazina ya neno lake lakini hatupaswi kuja kwenye karamu na mavazi ya raia ni lazima tuwe na vazi jeupe lenye haki ya kristo ambalo limetayarishwa kwa wageni wote*2
Ni sharti uibuke mshindi kutoka katika dhiki kuu upate vazi laharusu ni lazima kumpenda Mungu sana na jirani yako pende kama nafsi yako wakati wa neema kwa bwana wetu yesu Kristo haya yamefanyika kikamilifu tutakuwa kamili katika kristo na kuhudhuria karamu ya mbinguni *2
Similar Songs
More from HEAVENLY ECHOES MINISTERS
Listen to HEAVENLY ECHOES MINISTERS Karamu MP3 song. Karamu song from album Tia Mundu is released in 2023. The duration of song is 00:04:50. The song is sung by HEAVENLY ECHOES MINISTERS.
Related Tags: Karamu, Karamu song, Karamu MP3 song, Karamu MP3, download Karamu song, Karamu song, Tia Mundu Karamu song, Karamu song by HEAVENLY ECHOES MINISTERS, Karamu song download, download Karamu MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Lucy Njeriv431h
wow wow ❤️❤️