Breaking news
Tanzania
0
Man United imefikia makubaliano kamili na Fiorentina kumsajili Sofyan Amrabat kwa mkopo wenye kifungu cha kumnunua kabisa.
Ada ya mkopo ni €4m na kipengele cha kumnunua kwa mkataba wa miaka mitano hadi 2028,
#sportsNews #Kelvinmodect
Ada ya mkopo ni €4m na kipengele cha kumnunua kwa mkataba wa miaka mitano hadi 2028,
#sportsNews #Kelvinmodect
Comments (0)
0/500
New Comments(0)
What do you think of this post?