Loading...

Download

My Boomplay Recap 2022

My Boomplay Recap 2022 Nilianza kutumia Boomplay App mnamo tarehe 30/10/2017 ni sawa na siku 1,828 mpaka hivi Leo.

My Boomplay Recap 2022 Nyimbo yangu Kwa kwanza kuisikiliza mwaka huu wa 2022 ni Pikipiki - Mkude simba na Bwakila.

My Boomplay Recap 2022 Ndani ya mwaka huu wa 2022 nimeweza kuzisikiliza nyimbo takribani 55,682 nisawa na dakika 150,341.

My Boomplay Recap 2022 Into - Plank Wizzo ni moja ya nyimbo pendwa kwangu ikifwatiwa na Secret Steps - Mister Wawa kwenye mwaka huu wa 2022.

My Boomplay Recap 2022 Ndani ya mwaka huu wa 2022 nimefanikiwa kuwasikiliza wasanii 313 huku 177 wakiwa ni wasanii wapya nilio wasikiliza kwenye Boomplay App.

My Boomplay Recap 2022 Wasanii wangu pendwa ndani ya mwaka huu walikuwa ni Plank Wizzo nilio msikiliza mara 26,759 naTiesto nilio msikiliza mara 783.

My Boomplay Recap 2022 Bongo Flava umekuwa mziki wangu pendwa ndani ya mwaka huu wa 2022 ikifwatiwa na Afropop.

My Boomplay Recap 2022 Neno Love ndio neno pekee lililokuwa likitokea kwenye nyimbo ambazo nilizopata sikiliza ndani ya mwaka huu wa 2022.

My Boomplay Recap 2022 Ndani ya mwaka huu wa 2022 nimekuwa nikipendelea zaidi kusikiliza mziki muda wa asubuhi na mapema kabla sijaanza siku mpya ili kunipa mzuka chanya ndani ya siku husika.

My Boomplay Recap 2022 Siku ya Valentine day nilisikiliza Zaidi nyimbo ya Plank Wizzo Intro ndani ya mwaka huu wa 2022.

Na hio ni My Boomplay Recap 2022 ilikuweza kuangalia Recap yako bonyeza kwenye link hapo chini na fwata maelekezo Kuona Boomplay Recap yako ya mwaka 2022.
#MyBoomplayRecap2022
#InfluencerOnBoombuzz

Comments (3)

0/500

    New Comments3

    Boom Technology

    Champ[0x2728][0x1f63f]

    Tanzania

    MisterWawa

    Cool

    Germany

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status