My Boomplay Recap 2022
Tanzania
3
Nilianza kutumia Boomplay App mnamo tarehe 30/10/2017 ni sawa na siku 1,828 mpaka hivi Leo.
Nyimbo yangu Kwa kwanza kuisikiliza mwaka huu wa 2022 ni Pikipiki - Mkude simba na Bwakila.
Ndani ya mwaka huu wa 2022 nimeweza kuzisikiliza nyimbo takribani 55,682 nisawa na dakika 150,341.
Into - Plank Wizzo ni moja ya nyimbo pendwa kwangu ikifwatiwa na Secret Steps - Mister Wawa kwenye mwaka huu wa 2022.
Ndani ya mwaka huu wa 2022 nimefanikiwa kuwasikiliza wasanii 313 huku 177 wakiwa ni wasanii wapya nilio wasikiliza kwenye Boomplay App.
Wasanii wangu pendwa ndani ya mwaka huu walikuwa ni Plank Wizzo nilio msikiliza mara 26,759 naTiesto nilio msikiliza mara 783.
Bongo Flava umekuwa mziki wangu pendwa ndani ya mwaka huu wa 2022 ikifwatiwa na Afropop.
Neno Love ndio neno pekee lililokuwa likitokea kwenye nyimbo ambazo nilizopata sikiliza ndani ya mwaka huu wa 2022.
Ndani ya mwaka huu wa 2022 nimekuwa nikipendelea zaidi kusikiliza mziki muda wa asubuhi na mapema kabla sijaanza siku mpya ili kunipa mzuka chanya ndani ya siku husika.
Siku ya Valentine day nilisikiliza Zaidi nyimbo ya Plank Wizzo Intro ndani ya mwaka huu wa 2022.
Na hio ni My Boomplay Recap 2022 ilikuweza kuangalia Recap yako bonyeza kwenye link hapo chini na fwata maelekezo Kuona Boomplay Recap yako ya mwaka 2022.
#MyBoomplayRecap2022
#InfluencerOnBoombuzz

Comments (3)
0/500
New Comments(3)
Boom Technology
MisterWawa
Cool
Champ[0x2728][0x1f63f]