Loading...

Download

AUCHO JEURI NYIE! ATUPA KIJEMBE SIMBA

AUCHO JEURI NYIE! ATUPA KIJEMBE SIMBA BAADA ya kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara bila ya kufungwa huku wakiwa kileleni katika msimamo wakiwa na pointi 39, kiungo fundi wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho ameibuka na kutamka ligi wataianza rasmi Februari 27, mwaka huu.

Yanga tarehe hiyo ambayo ni keshokutwa Jumapili wanatarajiwa kucheza mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya ligi dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, na kauli hiyo ya Aucho ni kama anawaambia Simba wasahau suala la ubingwa msimu huu kwani kazi ndio kwanza inaanza.

Kauli ya Mganda huyo imekuja baada ya kufanikiwa kuwafunga Mtibwa Sugar mabao 0 2-0 nyumbani kwao kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro.
AUCHO JEURI NYIE! ATUPA KIJEMBE SIMBA

Ushindi huo umewawezesha timu hiyo kuwaacha watani wao, Simba kwa tofauti ya oint inane. Kwa mujibu wa Aucho, baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa nguvu na akili zao wanazielekeza katika mchezo ujao wa ligi dhidi ya Kagera ambao ni muhimu kwao kupata matokeo mazuri.

Aucho alisema kuwa katika kuelekea mchezo huo wataingia uwanjani kusaka pointi tatu kama vile ndiyo wanaanza ligi.

. “Wachezaji wote tumesahau matokeo tuliyoyapata katika mzunguko wa kwanza wa ligi, badala yake tutaingia kutafuta pointi tatu Februari 27.

“Hivyo mchezo wetu ujao wa ligi (Kagera) tutaingia uwanjani kwa lengo moja pekee kupata ushindi. Na tutauchukulia mchezo huo kama vile tunaanza ligi.

“Nafikiri nitakuwa nimeeleweka vizuri nina maana gani, kama inavyojulikana malengo yetu katika msimu huu ambao kwetu tunahitaji kuchukua makombe yote, nimalizie kwa kuwaambia nawapenda mashabiki wa Yanga” alisema Aucho.

Je unaisi Yanga atapata ubingwa wa ligi kuu?
#Yanga #sportsNews #francischbydpost

Comments (18)

0/500

    New Comments18

    Boom Technology

    Very interesting post

    Tanzania

    francischbyd

    @kCpeak:

    [0x1f630][0x1f630][0x1f630]

    kCpeak:

    [0x1f630][0x1f630]

    Tanzania

    prettyliz9fq

    good

    Kenya

    kCpeak

    [0x1f630][0x1f630]

    Nigeria

    Boom Technology

    Good

    Tanzania

    Khalmandro

    Utopolo

    Tanzania

    Godwin CB

    nice

    Nigeria

    voaplus

    cool

    Nigeria

    PEAK_Tv

    [0x1f630][0x1f630][0x1f630]

    Nigeria

    Sports Chairman

    Wow

    Nigeria

    P sun boyy

    yaoung african unambiwa sio poa

    Tanzania

    Mwl Joshua Samson Fulano

    nice

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status